Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
mkuu wale wanafunga za kiserikali, ndoa za mikataba. kama bado wameridhiana wanaongeza mkataba, kama wanaona inatosha basi.
 
Ukizaa mtoto wa kike usimuite Flora ni uchafu kabisa,hili jimama limenifanya nikasilike sana hafai kuwa mke tena kwan namuona kama Malaya wengne wa mtaan.
 
Anatukaribisha kwenye ndoa? Ataweza kutumudu woteee? Kama kwenye harusi sawa, ila kwenye ndoa mhhh!!!
 
Emmanuel kafa? Maana ndoa ya kikristo kitenganisho ni kifo tu. Huo ni uzinzi na inaonyesha huyo jamaa ndio amevunja hiyo ndoa
 
Bwana IMA kashatoa Baraka zote kwa mshikaji?( muoaji mpya?) Asije akafa kijerumani,
 
HUo MFUPA ATAUWEZA, KWANI HATA UKIMWANGALIA TU HANA AYAA TANGIA ANAPIKUANGALIA MPK ANATOKOMEA. HUYU SMALL HOUSSE WAKE WA,KIUME ATAKUJA JUTA SIKU,ZA USONI. TAZAMA ILI LIKOSA AYAA LISIVYOKUWA NA AIBU HATA MBELE YA MUNGU ETI LITAZINDUA NA ALBUM YA KUMTUKUZA NANI? KWA WATAKAO NUNUA ALBUM HIYO HAINA MIBARAKA YA MUNGU. PIA HATA KUHUDHURIA NDOA HIYO TENA KWA KIIMGILIO NI WATU KUPOTEZA PESA ZAO, BURE TU. AU JN MNAENDA MSANIFUUUUUUUUU KWA GAHARAMA YA PESA ZENU SAWAAAAAAAA. ILA DOGO UMEPOTEZA SANA MUDA WAKO UTAJAJUTA BAADAE,HAUJAWAHI KISIKIA KUWA HUYU KIDUDU-MTU KINAENDAGA KWENYE KUALIKWA BANDIA KUNBE KAALIKWA KWENYE YALE MAJUMBA YETU YA KUJIFICHA WAWILI WAWILI? KAZI KWAKO.
 
...Ilitakiwa title isomeke; Flora Mbasha akualika kwenye sherehe ya harusi yake. Unaeza alikwa harusini ila si katika ndoa. Ndoa ni ya watu wawili tu.

Tafakari.
 
Flora ni kati ya watumishi hewa ninaowafahamu muda mrefu tu kwa namna ya mienendo yake
 
Kwa wale wachungaji na wainjilisti walioko humu JF mtusaidie, hivi ndoa za kikristo si ni mpaka kifo? Hasa kwa hawa wapenteksti kama Flora. Sasa kwa hawa waliopeana taraka watafunga ndoa kanisa lipi?
 
huyu dogo kapotea njia kabisa anaoa mkweche wakati yeye namwona bado hajawahi kuwa kwenye ndoa. Kuna siku atatamani kitu fresh aone kikoje kwani anaanza ndoa na mama aliyekwisha kaa ndani ya ndoa muda mrefu. hii nayp haita survive

Survival of the fittest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…