Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Flora Mbasha anamuoa Dogo DaudiWho is marrying who??!!!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flora Mbasha anamuoa Dogo DaudiWho is marrying who??!!!!!??
mkuu wale wanafunga za kiserikali, ndoa za mikataba. kama bado wameridhiana wanaongeza mkataba, kama wanaona inatosha basi.Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Kwa mwendo huu watakufa sanaVijana hawataki stress za masister wa instagram, shoping za milimani city
Haijaandikwa popote mkuu lakini watanzania wangi ndo tulivyo jiwekea.Imeandikwa wapi iyo fomula mkuu?
Kwani Kusekwa alishaoagaAnaoa tena,chungu cha pili
huyu dogo kapotea njia kabisa anaoa mkweche wakati yeye namwona bado hajawahi kuwa kwenye ndoa. Kuna siku atatamani kitu fresh aone kikoje kwani anaanza ndoa na mama aliyekwisha kaa ndani ya ndoa muda mrefu. hii nayp haita survive
Asikwambie mtu milf ni watumu acha tu