Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Kama kuamua kuolewa inabidi aache kutumia jina la Mbasha kibiashara vinginevyo inabidi kuwe na mkataba wa kibiashara ya kutumia jina kama Tina Turner alivyokuwa jina la mtalaka wake.
 
Joyce Kiria kwasasa ndio mwanamke namba 1 mwenye Stress nchini, ana chuki na wanaume utafikiri hakutokana na mbegu za mwanaume.
Nakumbuka tu mume wake alivokula za uso 2015 kwenye uchaguzi. Na yeye si Aliachikia kwa Dj NELI [emoji2] [emoji2]
 
Mimi wazazi pia huwa wananikumbusha hilo ila huwa siwajibu chochote lakini sababu ni kwamba Sioni aina ya wanawake wafaao kuolewa.
Kweli wanaofaa kuolewa hawap kuwa sirias bwan
 
Dini za kuletwa zimeisha waharibu sana wabongo, watu wameshaachana nyie. Mmekazana kibiblia kibiblia, fuateni nyie,
Wao kila mtu kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…