ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Niko nyuma sanaa.
Yan hakuna hata nilichokielewa hapo
Hata mimi
Nimejitahidi sana kusoma mada yenyewe pamoja na michango ya Wadau.
Hapa kama sio mtu wa Instagram basi tumeingia mkenge.
Ila ngoja naona hapa kuna zungumzwa watu wawili wametapeliana kwenye mapenzi.
Kuna mwanamama hapa katapeliwa na Mwanababa mmoja wa hapa mjini.