Flora Mbutananga spates na mkasa wa kuibiwa Christmas 2019 kisa ahadi ya engagement

Huyo dada yangu sura yake lazima ahonge kupata huduma ya kutolewa genye
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Wadada wa ulaya wanapenda sana kuja kuoa viben10 bongo
 
Daah!! Nimemuonea huruma maskini na kukaa kote ulaya anakuja kuibiwa kizembe namna na bongo movie, wanawake wenzie wamemuingiza mjini mwenzao kwa kweli hii ndo bongo Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hata hii kafungua ya kubakwa na kuibiwa sa sjui haelewi neno kubaka? Afu ni kama hana akili nzuri ktk maelezo yake
 
Kwani niva hana kikatio cha nyama?
 
Mbuta nanga ni muolewaji mstaafu yeye atulie tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimepata jibu sasa lakini kwa ujambazi hapana labda kibaka MAARUFU
Niva kabla hajaingia kwwnye sanaa alikua ni jambazi maarufu na kuna clip ana kiri ni kwel alikua jambazi ila ameacha ,ila navyojua amejificha kwenye kivuli cha bongo movie

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…