Florah Lymo: How to look sexy at home

Florah Lymo: How to look sexy at home

Nimeishia kucheka maana anafanana katuni yani anachekesha hata hajielewi anatafta umaarufu lakin haupati
 
Nimeishia kucheka maana anafanana katuni yani anachekesha hata hajielewi anatafta umaarufu lakin haupati
 
Duh people get serious sometimes!!! Hiki ni kitu gani tena? Nimecheeeka dah, we mrembo by nature huna maana lol!!!
 
Kuna vitu vya kusema Big up sio hiki!!!!!!!

Heaven on earth ww tangia umeanza kuona vituko vya huyu dada unamuona ni mzima!? Kama kusema tumeshasema sana ndio kwanza anazidisha ss tufanyeje bora tumsifie atapunguza madudu yake..

Hizo picha ukiziangalia kiukwel zinakera ila kinamna fulan lazima ucheke kama sio kutabasam
 
Mbna chupi lake kma bigshow, huyu lazma hana kazi dats y maisha yamempiga kwel kavurugwa
 
haahaaahaaahaaahaaaahaaahaaa,Mungu wangu ngoja tuishi tukijionea vituko maana dah, kama chura anjaribu kupaa badala ya kuruka
 
majanga yamepitiliza nazani huyo dada xaxa kaisha vurugwa, lakin kapendeza accordin 2 macho yke akijitazama kwa mirror!
 
Heaven on earth ww tangia umeanza kuona vituko vya huyu dada unamuona ni mzima!? Kama kusema tumeshasema sana ndio kwanza anazidisha ss tufanyeje bora tumsifie atapunguza madudu yake..

Hizo picha ukiziangalia kiukwel zinakera ila kinamna fulan lazima ucheke kama sio kutabasam

KAMA HAPO SAWA.....NGOJA NA MIE NIMPE big up mbutananga..............
 
Back
Top Bottom