Florah Lymo: How to look sexy at home

Florah Lymo: How to look sexy at home

mjinga huyu dada,sio mara ya kwanza kutaka sifa mtandaoni...alipigana na jestina akaenda kuweka mtandaoni km vile ni sifa.....,akaja kukwapua mume wa mtu akawa anamtukana huyo mwanamke aliyemuibia...mwishowe akaachwa amebaki kudhalilisha watu kny kiblog chake ooh wamevaa vibaya harusini,anajiona designer police ukiona nguo anazovaa utakubaliana na mie bado huyu dada ushamba haujamtoka
 
mie nahisi ni njemba inatafutwa kwa nguvu,na atapata tu kuna wanaume wanajua kuzoa zoa tu
 
mjinga huyu dada,sio mara ya kwanza kutaka sifa mtandaoni...alipigana na jestina akaenda kuweka mtandaoni km vile ni sifa.....,akaja kukwapua mume wa mtu akawa anamtukana huyo mwanamke aliyemuibia...mwishowe akaachwa amebaki kudhalilisha watu kny kiblog chake ooh wamevaa vibaya harusini,anajiona designer police ukiona nguo anazovaa utakubaliana na mie bado huyu dada ushamba haujamtoka

Huyo jestina mbona anaonewa sana jamani kuna mahali nilikuta anachambwa balaa Ila yule Dada mstaarabu sana
 
Huyo jestina mbona anaonewa sana jamani kuna mahali nilikuta anachambwa balaa Ila yule Dada mstaarabu sana

Humjui jestina wewe! Ana roho ya kwanini balaaaa! Team mange!
 
Humjui jestina wewe! Ana roho ya kwanini balaaaa! Team mange!

Ahahaaa mi sina team wote nawakubali ila mama meru yupo innocent.HV aligombania nini na CEO wenu
 
yaan mwanamke ananichekesha kweli huyu lichupi lake kama superman au mtoto anapima uzito clinic

Kwikwikwi umenichekesha kweli. Hata superman huwa inamkaa vizuri huyu kama michupi ya kupimia uzito watoto
 
Huyu c bure nauli y kurudi kwao n shida mana sura ngumu kma amemeza nyongo.mchaga gani kavurugwa c ajabu wateja w mbuye yke hawamlipi wanamkopa cz n lunatic
 
***** kukaa ulaya mchezo,na hivi kila mtu anataka blog yake iwe maarufu mmhh sijui hiyo aproach yake ikiefeli atauja na ipi yangu macho!!!
 
​huyu nasikia huko london aliiba mume wa mtu-huyo jamaa nae hovyo tu,basi jamaa kakaa nae kipindi ila kugutuka kumbe huyu flora yuko kwenye list ya machizi..basi nasikia jamaa alitoka baruti kumrudia mke wake..ilikua kichekesho hapo london jamaa kutoka na chizi huyu....tatizo lingine nasikia pamoja na uchizi wake ni mshhamba ni wale watu waliopata ngekewa ya kuruka lakini alitakiwa abaki kishumundu tu ndo kunamfaa.
 
Back
Top Bottom