Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
ila hii ngozi nyeusi tunapenda sana kujishow off..yaani angalia mswahili yoyote duniani..anataka kubling,raba kali jeans kali,gari..lakini wazungu wala..wapo na suti tu.Sijui kwanini tuko hivyoDah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
mkuu ndiyo maana watu kama hawa na wakina mike tyson. Uwezo wa kufikisika ni mkubwa sana kama alivyofilisika Tyson.Dah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
Kweli mkuuila hii ngozi nyeusi tunapenda sana kujishow off..yaani angalia mswahili yoyote duniani..anataka kubling,raba kali jeans kali,gari..lakini wazungu wala..wapo na suti tu.Sijui kwanini tuko hivyo
Qoute#miafrika ndivyo tulivyoDah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
Just a joke bro,don mind![emoji28] [emoji28] [emoji119]Mkuu Chinga;
Wivu gani umeuona mkuu? Kwamba natamani niwe na hiyo ndege! Dah! Sijui wewe angekuambia chukua hii ya kwanza ungeshangilia nadhani. Lakini, wanaoijua gharama ya kuiweka ikae angani wangeona kawalaani tu. Wewe ungeipeleka wapi? Mimi sina cha kufanya nayo, wala uwezo wa kuipiga grisi tu sina hivyo sina wivu mkuu.
Sikudai hivyo ila ni uelewa tu wala sikuwa na maana hiyo na haina maana hiyo ukiidadavua vizuriWe ulidai kwamba hayo anayoyafanya hayausiani na pesa bali lifestyle aliyoichagua "Je!!?? Na mm naweza nikachagua kuishi style hiyo bila ya pesa" money ndo kila kitu mkuu hasa kwa dunia hii ya leo, utafanya meng sana,,,,,........
Acha kufananisha mbingu na vitu vya kipumbavuKuna watu siku wakifa hata kama kuna mbinguni wakafanikiwa kwenda huko, watateseka kutokana na life walilokuwa wanaishi duniani ni best kuliko huko mbinguni.
we hutamani?Diamond nae anataman siku moja nae awe na mafumba kama mshkaji anunue private jet
Unajua huo msemo uliletwa kwa ajili gan "( watu maskini wa mawazo) We endelea kukariri hivo ukiamin ipo siku flan atakufa na tumzike" Ili mlingane ...... Huku ukoo wako ukiendelea kula magimbi na kufa siku hata zkiwa hazjafka "" """
Diamond nae anataman siku moja nae awe na mafumba kama mshkaji anunue private jet
hivi ndege sio asset? Assets ni nini maana kama manyumba ya maana anayo mbona hata akina bill gates wana ndege? Au kwa sababu jamaa ni black?Sign moja wapo ya Poor fathers ni kuwa huwa wanatabia ya kununua takataka(liabilities) badala ya Assets. Watu maarufu wengi wameponza na style hiyo ya maisha na matumizi, wengi waliishia kufilisika na mwishowe kabisa Unga huwa ndio kimbilio lao. Na hufa wakiwa masikini kabisa.