Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

mwache ainjoy maisha yake we only live once... Unataka abane matumizi akifa wafaidi ndugu zake?
 
Kama ikipata hitilafu huwa inaelea tuu mpaka mkaiokoe nadhani ntamsifia. Lakini kama yaanguka kama nyingine nyingi zilizowahi anguka nadhani ningelikuwa yeye fedha ngeliiweka kwingine.
private jet zina raha yake,ukitaka kutinga new york city ni uamzi tu,hongkong,bangkok,mexico city yaani just uamzi na ni nzuri kwa kusafirisha madini,unga etc
 
wazungu wanaita "this is what happens when you give money to the monkey"...akili yake yote imeishia hapo hawezi kujipambanua akafanya ya maana zaidi ya hizo starehe za dunia inayopita.
 
dimondo anaweka meno mekundu ya dhahabu mamillion huku baba yake mzazi anugua ... Laana inamnyemelea na utajiti utesha huo!!
 
wazungu wanaita "this is what happens when you give money to the monkey"...akili yake yote imeishia hapo hawezi kujipambanua akafanya ya maana zaidi ya hizo starehe za dunia inayopita.
Waafrika wengi ndiyo wapo hivyo. Ila utashangaa kuna watu wanamshangilia hivyo hivyo na ujinga wake
 
Of course, having money is a good thing! The Money Team!
 
$ 220 Million kwa pambano moja!!
Then ana haki ya kununua hata kumi! Nikuulize swali kama una jibu, nani anamlipa hela hizo (zina toka wapi)? Kiingilio kinatosha kumlipa hizo na mwenzake na gharama za kuendesha pambano, hilo zinatoka wapi?
 
Hata nikitamani mkuu haitakaa itokee siku moja niwe navyo! Huu utawala uliopo sa hvi kupata ugali wa mchana umshukuru MUNGU!!

Umezungumza vyema, ila inawezekana ukawa tajiri au mtu mashuhuri sana Duniani siku moja, endelea kujituma tu, Mwenyezi Mungu Ni wa wote
 
private jet zina raha yake,ukitaka kutinga new york city ni uamzi tu,hongkong,bangkok,mexico city yaani just uamzi na ni nzuri kwa kusafirisha madini,unga etc

Aksante mkuu Elungata kwa kunifungua macho. Nilidhani ni kama mtu kununua toroli kumbe kila kitu kina mahali pake.
 
Then ana haki ya kununua hata kumi! Nikuulize swali kama una jibu, nani anamlipa hela hizo (zina toka wapi)? Kiingilio kinatosha kumlipa hizo na mwenzake na gharama za kuendesha pambano, hilo zinatoka wapi?
Viingilio na wathamini ishu kama hiyo
 
Dah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
Huyu ni entertainer tofauti na Bill Gates wanatafuta hela kwa njia tofauti kabisa so hata lifestyle na spending zinakuwa tofauti maana kila mmoja anafanya biashara ila marketing strategy pia ni tofauto.

Imagine Bill Gates anakaa kuumiza kichwa kwa miaka akitengeneza software moja ila Mayweather akipiga pambano moja tu kamaliza, so hawafanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…