laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
mwache ainjoy maisha yake we only live once... Unataka abane matumizi akifa wafaidi ndugu zake?mkuu ndiyo maana watu kama hawa na wakina mike tyson. Uwezo wa kufikisika ni mkubwa sana kama alivyofilisika Tyson.
Wengi wa matajiri, wanajua sana kubana matumizi na kuzielekeza fedha katika uwekezaji.
Sasa hawa ndugu zetu ni matanuzi mwanzo mwisho. Mwisho wa siku wanakuwa omba omba.