Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Usalama upo kama utachukulia kila dereva mwenzio ni kichaa. Ila ukijifanya kuvimba lazma muumizane barabaraniNazungumzia usalama wa kila mtu ikiwemo hao waendesha rafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usalama upo kama utachukulia kila dereva mwenzio ni kichaa. Ila ukijifanya kuvimba lazma muumizane barabaraniNazungumzia usalama wa kila mtu ikiwemo hao waendesha rafu.
Unatumia mabilion kujenga barabaraWanakera mno yani! Wasongolist flani wazinguaji
Matuta ya hii road pamoja na hii ya Masana Mbezi nayaunga mkono sababu hizo Road zina kona nyingi sana na blind spots nyingi...halafu ndugu zangu wachaga na subaru zao walikuwa wanawachota sana watoto wa shule asubuhi...ila sehemu straight na hakuna risks kubwa halafu high way unaweka matuta kama ya viazi sio poa.Matuta yanakera sana.Mfano barabara ya kutoka nyuki kwenda mbezi kupitia madale ina matuta mengi mno.Hakuna raha kabisa.Lkn rasta zinakera zaidi.