Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hawanaga akili wale ile miezi sita wanayokula inawatoa ufahamuMaafande Bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawanaga akili wale ile miezi sita wanayokula inawatoa ufahamuMaafande Bwana
Huo ndo weledi wa mwafrika sasa.Hayana road safety for other users, Sasa nashangaa wametumia akili Gani!? Unazuia ajali Kwa kuanzisha ajali nyingine!? Tanroad tujue namna Bora ya kupunguza ajali na Sio kuongeza!!! Mapendekezo, Wangeweka taa kama za hapo Mwanzo makongo wakaachana na matuta!! Tutumie Weledi!!
Sisi wa tz Bado hatujastarabika Bado. Ndo maana mmewekewa hayo matuta. Bora uvunje gari Lako kuliko kupoteza maisha ya binadam mwenzio. Hyo Barabara Magar yalikuwa yanajiachia Sana. Tuendelee kushikiw Akili tu.Hayana road safety for other users, Sasa nashangaa wametumia akili Gani!? Unazuia ajali Kwa kuanzisha ajali nyingine!? Tanroad tujue namna Bora ya kupunguza ajali na Sio kuongeza!!! Mapendekezo, Wangeweka taa kama za hapo Mwanzo makongo wakaachana na matuta!! Tutumie Weledi!!
Kiko Kwa fundi kinachongwa usijal, kesho ukipita utakiona. One love matutaKwanza hawajaweka kibao kwamba kuna matuta ya kashata sijui.Halafu walivyojenga hiyo barabara Tanroad kwa nini hakiwawekea mazingira rafiki pale na wanajeshi nao kwa kupenda short cut wazunguke bwana wasitutese watumiaji wengine allaaa
Kila kitu ukiangalia kwwnye act, utafel Ndugu. Idad ya watu dsm ni kubwa sana. Kuliko uwezo wa miondombinu, madereva wengi piah ni vichomi hawafuati hizo act unazosema.Meneja wa TANROADS sasa hivi ni mgeni Dar es salaam.
Inaelekea hajapitia Road Ordinance Act.
Hio biashara ya kujaza matuta sijui huwa inafanyika kwa faida ya nani! Yani wenye nafasi Tanzania wana mambo ya ajabu sana especially hawa watu wamepewa madaraka flani.
Njia ilikuwa iko sawa mno na yale matuta yake yaliokuwa smooth yanakupa feeling tu kuwa kuna humps unapanda ila hayakeri! Nilikuwa nayapanda na kushuka na 100KPH vizuri tu.
Wameshaaribu njia jamani
Binadamu wako Lugalo tu, au sio? Mbona matuta ya sehemu zingine yamewekwa kistaarabu?Sisi wa tz Bado hatujastarabika Bado. Ndo maana mmewekewa hayo matuta. Bora uvunje gari Lako kuliko kupoteza maisha ya binadam mwenzio. Hyo Barabara Magar yalikuwa yanajiachia Sana. Tuendelee kushikiw Akili tu.
Lazima uelewe kuwa nchi inaendeshwa kwa sheria na taratibu.Kila kitu ukiangalia kwwnye act, utafel Ndugu. Idad ya watu dsm ni kubwa sana. Kuliko uwezo wa miondombinu, madereva wengi piah ni vichomi hawafuati hizo act unazosema.
Watu wenye uwezo wa kufikiri Tanzania wengi wako sekta binafsi, serikali na taasisi zake wamejaa vilaza, na kama akitokea mmoja mwenye nafuu basi hufunikwa na vilaza na yeye kuwa kama wao.Hio biashara ya kujaza matuta sijui huwa inafanyika kwa faida ya nani! Yani wenye nafasi Tanzania wana mambo ya ajabu sana especially hawa watu wamepewa madaraka flani.
Njia ilikuwa iko sawa mno na yale matuta yake yaliokuwa smooth yanakupa feeling tu kuwa kuna humps unapanda ila hayakeri! Nilikuwa nayapanda na kushuka na 100KPH vizuri tu.
Wameshaaribu njia jamani
Kuliko kuweka rasta bora angeweka wigi tuKuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
Wapuuzi sana hao jamaaWatu wenye uwezo wa kufikiri Tanzania wengi wako sekta binafsi, serikali na taasisi zake wamejaa vilaza, na kama akitokea mmoja mwenye nafuu basi hufunikwa na vilaza na yeye kuwa kama wao.
Kuna mambo yanafanyija nchi hii unajiuliza aliyeafanya alitolewa mirembe kwa ajili ya kazi hiyo tu na kurudishwa tena?
Wapuuzii mno hawa mbugila mbugilaHahahaaa! Poleni tulipolalamika Kilwa road wameweka matuta ya kukomoa, yanazuia magari kutembea na si kupunguza mwendo!! Wengi walitujibu hameni huko 🤣🤣🤣🤣, bro. najua ushajua ninachotaka kusema....!!
Nisiwe kundi hilo, mie nalaani sana uwekaji wa matuta licha ya teknolojia zote hizi! Wafunge camera atayepita kwa kuvunja sheria namba zinaonekana na sura! Simple kuliko mnapiga lami then mnaweka matuta tusitembee tena ni upuuzi wa kiwango cha hiyo hiyo lami yao!! 😢
Natamani wawe wanaweka hata milima na si matuta tu. Uendesheji wa magari Tanzania hasa DAR ni wa kizembe kupindukia.Hio biashara ya kujaza matuta sijui huwa inafanyika kwa faida ya nani! Yani wenye nafasi Tanzania wana mambo ya ajabu sana especially hawa watu wamepewa madaraka flani.
Njia ilikuwa iko sawa mno na yale matuta yake yaliokuwa smooth yanakupa feeling tu kuwa kuna humps unapanda ila hayakeri! Nilikuwa nayapanda na kushuka na 100KPH vizuri tu.
Wameshaaribu njia jamani
Kuna wale watu ambao walitoka vijijini huko ilemela ndani ndani. Huwa wakija vyuoni wanapiga sana misuli kwa kucremisha na kufaulu.Hio biashara ya kujaza matuta sijui huwa inafanyika kwa faida ya nani! Yani wenye nafasi Tanzania wana mambo ya ajabu sana especially hawa watu wamepewa madaraka flani.
Njia ilikuwa iko sawa mno na yale matuta yake yaliokuwa smooth yanakupa feeling tu kuwa kuna humps unapanda ila hayakeri! Nilikuwa nayapanda na kushuka na 100KPH vizuri tu.
Wameshaaribu njia jamani
Hiyo si TanroadsHayana road safety for other users, Sasa nashangaa wametumia akili Gani!? Unazuia ajali Kwa kuanzisha ajali nyingine!? Tanroad tujue namna Bora ya kupunguza ajali na Sio kuongeza!!! Mapendekezo, Wangeweka taa kama za hapo Mwanzo makongo wakaachana na matuta!! Tutumie Weledi!!
Unaweza niambia hilo eneo ni watu gani wanaovuka?au upo mkoani umehadithiwa tuSisi wa tz Bado hatujastarabika Bado. Ndo maana mmewekewa hayo matuta. Bora uvunje gari Lako kuliko kupoteza maisha ya binadam mwenzio. Hyo Barabara Magar yalikuwa yanajiachia Sana. Tuendelee kushikiw Akili tu.
Wanakera mno yani! Wasongolist flani wazinguajiKuna wale watu ambao walitoka vijijini huko ilemela ndani ndani. Huwa wakija vyuoni wanapiga sana misuli kwa kucremisha na kufaulu.
Sasa wakimaliza ndio wanapewa michongo ya kazi Halmashauri za jiji na tanroads huko. Matokeo yake ndio haya sasa wanakuja na idea za kimasikini kwenye kusolve issue ndogo tu.
Sasa wewe kama huwezani na uendeshaji wa Dar es salaam ndio uombee milima na mabonde highway?Natamani wawe wanaweka hata milima na si matuta tu. Uendesheji wa magari Tanzania hasa DAR ni wa kizembe kupindukia.
Nazungumzia usalama wa kila mtu ikiwemo hao waendesha rafu.Sasa wewe kama huwezani na uendeshaji wa Dar es salaam ndio uombee milima na mabonde highway?
Hamia mkoani uendeshe gari kama unaendesha msafara wa bibi harusi.