Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

kuna crown nyeupe ilipiga hapo kwenye caravat la kuingilia base yao, so i guess hio ni move ya kambi ya jeshi lugalo kutaka hapo pawekwe hizo rasta..ofwhich impact imekua mbaya sana..foleni inaanza itv mpaka unavuka bondeni ukishavuka hizo rasta mbele kweupe..sasa na vile nchi saivi kila mtu ni mfanya maamuzi hata kwa vitu vinavyofikrika tu. Mkuu wa trafki dar akazungumze na tanroads manager watoe hayo madude..
 
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
Unampimaje akili mtu ambae hana akili,yani huyo ni kiazi kweli kweli.Hadi muda huu saa nne kasoro robo kuna foleni bado inayoanzia mwenge mataa hadi itv na upande wa Mlimani city inaanzia round about ya Mliman city.
 
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
Kuna ule mtuta mkubwa umewekwa pale karibia na geti la kuingia Lugalo. Aisee mi nlijua lilo kama kawaida. Nimeuparamia daah....na sikukanyaga brake maana nlihisi ntaitupa gari. Na nlikua kibati kitu kilishakuwa kinasoma 70
 
Hayana road safety for other users, Sasa nashangaa wametumia akili Gani!? Unazuia ajali Kwa kuanzisha ajali nyingine!? Tanroad tujue namna Bora ya kupunguza ajali na Sio kuongeza!!! Mapendekezo, Wangeweka taa kama za hapo Mwanzo makongo wakaachana na matuta!! Tutumie Weledi!!
Nami leo jioni nimefahamishwa na jamaa yangu kuwa ameshindwa kuwahi kumuona mgonjwa aliyelazwa pale hospitali ya Lugalo kutokana na foleni kubwa ya kutoka Makumbusho hadi Lugalo. Hatukujua kuwa hii ndiyo sababu sio watumiaji wa mara kwa mara wa barabara hii. Pengine ni vizuri tatizo hili likafatiliwa zaidi.
 
Sikuna yule mbunge kasema kuhusu matuta ni ni kero yanaumiza viuno vya wanaume oooh mkasema mkamuona mjinga anaongelea ujinga haya leo imekuwaje tena mnazungumzia matuta acheni tu yawatie adabu[emoji38][emoji38][emoji14][emoji2960]
 
Nimepita leo nimeshangazwa sana kuweka hizo tuta tena karibu na tuta kuuu. Hivi hakuna namna nyingine ingeweza kua rafiki ku slowdown gari.

Weka tochi zile zinazopima na kupiga picha ya gari ikiwa speed pasipo traffic. Gari itakumbana mbele ya safari na kosa au faini yake. Tungeongeza mapato
 
Back
Top Bottom