Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

Barabara hupimwa uwezo wake Kwa wingi WA Magari yanayopita specific point Kwa saa, je Tanroad wamezingatia Hilo!? Hawaoni wamepunguza capacity Kwa 50% Poor them
Flow imepungua kwa 80% , sio 50%, ndio maana nikauliza kama kuna haja akapimwe akili huyo aliyehusika
 
Ninasikia ni wajeda wenyewe ndio wamefanya hiyo shughuli
Mzee liletuta unaweza dhani umepanda kifusi
Kama wamefanya wenyewe, kisheria hawaruhusiwi.
Barabara zina sheria inazozitawala.
Miaka ya nyuma hapo Lugalo kuna mkuu alitaka kuweka geti pale Mwenge na njia ya Kawe/Mbezi Beach.
Ilibidi wasomewe sheria ya barabara kwamba ndani ya upana wa barabara (Right of Way), sheria zinazotawala ni tofauti kabisa na hawana mamlaka nazo.
 
Huwezi kuweka matuta makubwa umbali usiozidi MITA kumi (10) ila hii imewezekana Lugalo, ni hatari sana!! Muda huu nimekagua pale chini Naona oil na vioo vingi, Labda tayari Kuna vifo!! Je huyu aliyeruhusu hii Hali nafsi yake inajisikiaje!? Unatumia Hela za walipakodi kuwamaliza!? Hili liangaliwe kitaalamu zaidi, ila kama ni sehemu ya jeshi waruhusu utaalamu ufanye kazi kupunguza madhara Kwa madereva!!
 
Tayari mambo huku, by next week na pengine hata sooner watakwangua tu
 
Back
Top Bottom