Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo. --- Pia soma - Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?