Foleni kubwa Morogoro road

Foleni kubwa Morogoro road

Watu wanakoroma tu kwenye magari hakuna hata ku-move 1 inch
 
Mabrazani wa Dar bhana kwa kulia lia na kudeka mmekuwa kama jamaa yenu yule aliyekuwa anaenda kulia mpk makanisani hebu jikazeni kidogo
Blaza au huko mnakaa foleni zaidi ya hii.. Maana hapa lisaa la nne linakatika
 
.. Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
[/QUOTE]
Asee pole sana jamaa ya Dar,home unapaona na miguu imeenda wapi mpk unashindwa kufika aseeh!!
 
Hyo njia ya huko mbezi hafai Kuna siku foleni ilianzia karibia chalinze nikifika Dar saa Saba kah
 
Hyo njia ya huko mbezi hafai Kuna siku foleni ilianzia karibia chalinze nikifika Dar saa Saba kah
Sasa leo foleni haitembei tokea ubungo to kibaha....imekua kinyume
 
.. Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
Asee pole sana jamaa ya Dar,home unapaona na miguu imeenda wapi mpk unashindwa kufika aseeh!!
[/QUOTE]
Sasa nawewe unataka nitembee afu gari niliache au unanitafutia sabab ionekane naringishia gari
 
Poleeeh sanaah, ila hii road mmmh foleni ni every dai, kuna siku nilikuwa natoka mkoa kuja hapa [emoji551], tulifika chalinze SAA 2, hiyo foleni sitakaa nisahau ubungo tuliingia SAA 7. Khaaaaaah
 
Foleni imeanzia mbezi mwisho mpaka Ubungo jombaa sijui nini shida...masaa manne sasa

Haifiki ubungo acha uongo!
Mimi nimebanwa na hiyo foleni tokea saa 12, by saa nne na nusu hivi nikatoboa, mbele huko kabla ya stop over ni kweupe...
 
Mimi nimeamua ninyooshe goti, nipo chalinze now to Arusha napishana na tochi
 
Asee pole sana jamaa ya Dar,home unapaona na miguu imeenda wapi mpk unashindwa kufika aseeh!!
Sasa nawewe unataka nitembee afu gari niliache au unanitafutia sabab ionekane naringishia gari
[/QUOTE]
Hapo sawa nilijua usafiri wetu wa umma poleni sana watu wa Dar pia hongereni maana population pia ni ishara ya maendeleo
 
Poleeeh sanaah, ila hii road mmmh foleni ni every dai, kuna siku nilikuwa natoka mkoa kuja hapa [emoji551], tulifika chalinze SAA 2, hiyo foleni sitakaa nisahau ubungo tuliingia SAA 7. Khaaaaaah
Hiyo "khaaaa " iko vyema sana
 
Back
Top Bottom