Foleni kubwa Morogoro road

Foleni kubwa Morogoro road

Huu ni utoto mkuu achana nao kbc kwamba kwenu mtu kuwa na gari ni maajabu?au hujui hapa mjini kuna gari mpk za milioni 2.Tafuta hela dogo wivu ukutoke
Heeeh usimfokee sasa lol, [emoji2][emoji2][emoji2] nakusabahi tyuuuh n mic u
 
Hii ya leo ni nyoko...leo njia ya kimara imetunyoosha haswa...foleni tangu saa tatu usiku mpaka saizi saa saba bado hatuelekei kutoboa...leo nalala njiani kama naenda kigoma bora hata ningekua na manzi mkali pembeni...malori kama buku...nahisi foleni ishafika manzese saizi... Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
Acha matusi
 
Una maana "lazima" awe na Changudoa??
Neno sahihi Ni kimada. Ila kwa Chalinze mwanamke anakua kimada wa madereva wengi. Umeshawahi kufika Kagongwa na Runzewe ndugu yangu? Runzewe Ni zaidi ya Chalinze.
Kule mchana Ni Kijiji Ila usiku Ni jiji na uchumi wa mji mzima unategemea papuchi
 
Mm nililiacha Gari kwenye foleni Sasa HV ndo nalifuata
 
Ila kwa Chalinze mwanamke anakua kimada wa madereva wengi.

Kaka huyo ni changudoa/Malaya/dada poa, kimada ni mwanamke wako peke yako wa nje ya ndoa au huitwa nyumba ndogo.🤣
 
Kaka huyo ni changudoa/Malaya/dada poa, kimada ni mwanamke wako peke yako wa nje ya ndoa au huitwa nyumba ndogo.🤣
Kimada? Wako peke yako? Mhhh. Leo Ni Eid ngoja tusiongee sana
 
Tatizo la foreni Dar halitakwisha hadi hapo CCM ikapo ondolewa madarakani, kumbuka tatizo la foreni ni chimbo la CCM na linazidi kunoga siku hadi siku, poleni sana mnaokwama pale Mbezi mwisho ila msifanye kosa Oct 28 msije juta milele
 
Kwani wapiga kura ndio wanatangaza matokeo?
Wewe msajiri Messi na Ronaldo, Sisi tunasajiri
Refa
Kamisaa
VAR
 
Hizo ndoto zenu za kutawala mchezo hatimaye mjitangaze washindi huku mnasaidiwa na refa una mwisho wake,
time will tell
Kwani wapiga kura ndio wanatangaza matokeo?
Wewe msajiri Messi na Ronaldo, Sisi tunasajiri
Refa
Kamisaa
VAR
 
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.

Sijui shida ipo wapi
Tanzania and particularly Dar haina magari ya kuweza kusababisha foleni for 4 hours.Shida kubwa IPO kwenye miundombinu tuliyonayo inayosababishwa na ukilaza wa madesigner wetu.Hawataki kujishughulisha Wala kutumia akili
 
Upo sahihi kabisa.
 
Wewe mwenye akili umetatua changamoto gani kwenye jamii ukaacha alama?
 
Foleni ya Ubungo serikali imeihamishia Mbezi, yaan ni mwendo wa kuhamisha tatizo kutoka zehemu moja kwenda sehem nyingi.Nchi ya uchumi wa kati
foleni ya mbezi siyo ya kudumu, inatokana na ujenzi wa barabara kuendelea, lakini nashauri pale mbezi njiapanda ya kwenda goba pawe na mzunguko itasaidia sana
 
Back
Top Bottom