Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

Moroco gari haziendi leo
 
Serikali ilipaswa tangaza gari zisiende Posta
 
ni kero ya hali ya juu

foleni mjini barabara kibao zimefungwa toka jana usiku

mtu mmoja nakwamisha shughuli mbalimbali za maelfu ya watanzania

hakika kazi ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo posta hapa gari zimetembea kwa speed tu mpaka Posta mpya tena hakuna siku nimeingia kwa urahisi posta kama leo
 
Watembea kwa mguu na kutumia boda tunapeta

Ova
 
Back
Top Bottom