Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo tuna historia mbaya kwa sababu rais alikufa kifo tata akiwa madarakani sawa na Ghana tu hivyo CIA hawaamini kabisa tena hawaamini kabisa mifumo yetu. Kila simu ya mtu wa dar leo inadukuliwa yaani hata kama unakula uroda wanakuona kuanzia janaUjio wa Makamu wa Rais wa Marekani leo Ni jambo zuri na la kuheshimika sana , Lakini karibu kila barabara za posta, Masaki na Oysterbay zimefungwa yani shughuli nyingi leo zimekwama/zitakwama
Kazi iendelee
[emoji23]Bongo tuna historia mbaya kwa sababu rais alikufa kifo tata akiwa madarakani sawa na Ghana tu hivyo CIA hawaamini kabisa tena hawaamini kabisa mifumo yetu. Kila simu ya mtu wa dar leo inadukuliwa yaani hata kama unakula uroda wanakuona kuanzia jana
Usinambie hizi text za kijinga nazochati na baba tamu wanaona??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo tuna historia mbaya kwa sababu rais alikufa kifo tata akiwa madarakani sawa na Ghana tu hivyo CIA hawaamini kabisa tena hawaamini kabisa mifumo yetu. Kila simu ya mtu wa dar leo inadukuliwa yaani hata kama unakula uroda wanakuona kuanzia jana
Yaani wanajua mpaka style kama ji dog au mbuzi kagoma kwendaUsinambie hizi text za kijinga nazochati na baba tamu wanaona??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wanajua mpaka style kama ji dog au mbuzi kagoma kwenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani wanajua mpaka style kama ji dog au mbuzi kagoma kwenda
😅😅😅Bongo tuna historia mbaya kwa sababu rais alikufa kifo tata akiwa madarakani sawa na Ghana tu hivyo CIA hawaamini kabisa tena hawaamini kabisa mifumo yetu. Kila simu ya mtu wa dar leo inadukuliwa yaani hata kama unakula uroda wanakuona kuanzia jana
Wataka kwenda kumpakaza mavi?Usinambie hizi text za kijinga nazochati na baba tamu wanaona??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaaaaaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani wanajua mpaka style kama ji dog au mbuzi kagoma kwenda
Ama kweli GT wamekwisha JFFoleni leo ni kubwa sana, nini sababu? Au ndio ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani?
Kwa Mimi ambae ni mzoefu wa magari, hii ni Kluger.
Hahahaha mzee shikamoooKwa Mimi ambae ni mzoefu wa magari, hii ni Kluger.