Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani leo Ni jambo zuri na la kuheshimika sana , Lakini karibu kila barabara za posta, Masaki na Oysterbay zimefungwa yani shughuli nyingi leo zimekwama/zitakwama

Kazi iendelee
 
Foleni leo ni kubwa sana, nini sababu? Au ndio ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani?
 
Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani leo Ni jambo zuri na la kuheshimika sana , Lakini karibu kila barabara za posta, Masaki na Oysterbay zimefungwa yani shughuli nyingi leo zimekwama/zitakwama

Kazi iendelee
Bongo tuna historia mbaya kwa sababu rais alikufa kifo tata akiwa madarakani sawa na Ghana tu hivyo CIA hawaamini kabisa tena hawaamini kabisa mifumo yetu. Kila simu ya mtu wa dar leo inadukuliwa yaani hata kama unakula uroda wanakuona kuanzia jana
 
Usinambie hizi text za kijinga nazochati na baba tamu wanaona??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapanaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…