Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

Sasa hebu nambie mtu kama huyo jamaa anapenya penya mara anakuja
Kuwa waziri au mshauri wa rais unategemea nini baada ya hapo na bunge letu ndo hilo ulijualo.
Na kama hawa ndio huwa wanapenya kwa kuchomekwa chomekwa, ndio maana mambo mengine unajiuliza, huyu kiongozi kweli au ni taahira?!
 
wakitaka kufanya hivyo wahakikishe usafiri wa umma wana uboresha na mabasi ya umma yawe mengi ili ku kidhi mahita ya wananchi tofauti na hapo kutatokea vita ya taru ya dunia [emoji419]
 
wakitaka kufanya hivyo wahakikishe usafiri wa umma wana uboresha na mabasi ya umma yawe mengi ili ku kidhi mahita ya wananchi tofauti na hapo kutatokea vita ya taru ya dunia [emoji419]
Kabisa, maana huwezi kuzuia kitu wakati hakuna mbadala wa kueleweka
 
Sasa ukute kuna kiongozi anapita barabara ya Mandela anaenda Airport,hapo kwenye nenda kale msosi kabisa
 
Nadhani kulikuwa na pendekezo la kupeleka mizigo yote inayotoka bandarini hadi Kwara kwa treni,kisha kutoka Kwara ibebwe na malori au treni tena. Kwa maneno mengine ilikuwa kutoruhusu malori kuingia mjini, bali mizigo ipokelewe Kwara , lakini sijui kama inawezekana tena, maana wenye mji wamerudi mjini! 😎
 
Hii ingefaa sana kwa kutumia SGR
 
Kama new Selander bridge imewezekana, basi hata hili halishindikani
 
unazungumzia usafiri gani wa umma? hizi dala dala na mwendokasi unaokaa kituoni masaa mawili hujapata usafiri? ushauri wako unawezekana ulaya na marekani kwenye usafiri wa umma wa kuaminika.
 
Wazo zuri ila huo usafiri wa umma ni changamoto kubwa sana,umeshawahi experience ya mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…