Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

Nchi gani wanafanya hivi inaonekana ww sio mwanauchumi unajua customer behaviour mkuu hiyo haitaisaidia chochote zaidi ya kushusha mapato kwa serikali gari ya kinyonge inapoingia Kodi 4,000,000 umefikiria kuhusu hili maana raia hawatodhubutu kuingiza gari.

Suluhisho ni kuongeza Tu miundombinu wajenge Tu flyover na watengeneze njia za ndani kuwa mbadala wa kuepuka foleni.
 
kwa usafiri upi wa uma?
 
Pale maoni yangu wangeweka daraja juu ya daraja kama ubungo vile ila safari hii daraja la kuoitisha zinazoenda bandarini ilibd itafutwe namna iunhe had ivuke buguruni sheli sijui wangefanyaje mana oale na buguruni sheli karibu sana yan pagumu sana kuvunja jam pale...
 
Yeah, naona mtihani mkubwa upo buguruni sheli, inabidi iende kutua mbele ya kivuko cha waenda kwa miguu
 
Kama hujaanza kupaa na ungo basi umebakiza sekunde uanze[emoji848]
 
Kodi za kuingiza gari nchini ziwe kawaida,ila gharama ya kuliendesha gari binafsi jijini iwe kubwa,ili hayo magari yarudi mikoani na vijijini. Ikiwa ni pamoja na kuboresha usafiri wa umma ili kuweza kupunguza misongamano isiyo ya lazima kwenye majiji.
 
Hata wakiweka daraja,baada ya muda tatizo litajirudia tu...kwa sababu magari yanazidi kuongezeka
 
Kuna wenzako waliwaza kama wew hivihivi wakapandisha kodi ya magari yanayoagizwa bandarini ila haijasaidia kitu.
 
Hadi leo trh 30 April 2021, bado kuna watu mna mawazo kama haya??! Kweli bado tuna Safari ndefu sana.
 
Kuna wenzako waliwaza kama wew hivihivi wakapandisha kodi ya magari yanayoagizwa bandarini ila haijasaidia kitu.
Kwenye kuagiza gharama ziwe chini, ila kwenye kuligharamia likiwa jijini, gharama ziwe juu ili kuepusha msongamano. Au waje na formula, namba A mpaka C zote, ziondoke jijini ziende mikoani, hii pia itapunguza msongamano.
 
wewe mpuuzi kweli....kwani magari yetu binafsi si ndio tunakimbizana nayo kwenye ujasiriamali.....wazo la kipuuzi kabisa....
 

Akili za wapi hizi jamani? Tozo ya 1mil kwa mwezi?(hata kama ni mfano) Tunawalaumu viongozi kumbe watanzania uwezo wetu ni mdogo tu generally. Imagine sasa kama wewe ungekuwa mtoa maamuzi! Damnit!!
 
Hadi leo trh 30 April 2021, bado kuna watu mna mawazo kama haya??! Kweli bado tuna Safari ndefu sana.
We unafikiri suluhisho la kudumu ni lipi?Je,ni kutanua barabara ziwe mita 20 kila mahali na kuharibu majengo yaliyopo, au kujenga daraja la juu kila penye makutano? Tupe majibu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…