Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mtatumia usafiri wa ummawewe mpuuzi kweli....kwani magari yetu binafsi si ndio tunakimbizana nayo kwenye ujasiriamali.....wazo la kipuuzi kabisa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatumia usafiri wa ummawewe mpuuzi kweli....kwani magari yetu binafsi si ndio tunakimbizana nayo kwenye ujasiriamali.....wazo la kipuuzi kabisa....
Hilo wazo halitafanikiwa nchii hii ndo maana hata walipopandisha bandarini bado limefeli vibaya sana usitegemee hata hilo lakupanfisha kodi katikati ya jiji litafanikiwa.Kwenye kuagiza gharama ziwe chini, ila kwenye kuligharamia likiwa jijini, gharama ziwe juu ili kuepusha msongamano. Au waje na formula, namba A mpaka C zote, ziondoke jijini ziende mikoani, hii pia itapunguza msongamano.
Mfano tu wa namna ya kuuweka mji safiAkili za wapi hizi jamani? Tozo ya 1mil kwa mwezi?(hata kama ni mfano) Tunawalaumu viongozi kumbe watanzania uwezo wetu ni mdogo tu generally. Imagine sasa kama wewe ungekuwa mtoa maamuzi! Damnit!!
Umezingua bwana equation X, hem fanya kufikiri namna nyingine ya kuboresha life, sio kukandamiza wananchi.Mfano tu wa namna ya kuuweka mji safi
haitokaaa itokee....kamweMtatumia usafiri wa umma
Ni kweli hili linaweza kutekelezeka iwapo usafiri wa umma utakuwa umeboreshwa,mfano mwendo kasi inatakiwa iwepo kampuni zaidi ya moja na zote zijiendeshe kiushindaniUmezingua bwana equation X, hem fanya kufikiri namna nyingine ya kuboresha life, sio kukandamiza wananchi.
Kwa uchunguzi wangu, foleni ya kipande hicho cha barabara (Tabata Dampo hadi Buguruni Chama) inasababishwa na junction ya hapo zinapokutana barabara ya kutoka Buguruni kwenda Vingunguti na ile ya Mandela Rd. TAZARA hapasababishi foleni kabisa, kwani kama unatoka Tabata utapata shida kuikamata Buguruni, ila ukishavuka Chama, kule mbele kwenda TAZARA unateleza tu, wala hakuna shida. Kwa mtazamo wangu tatizo lipo hapo Chama/SheliNapendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Huko kutakuwa ni kuwaumiza watu tu, kwanza serikali ianze kuboresha kero za usafiri wa umma, daladala na mwendokasi bado ni shida tupu, magari hayatoshi, fikiria afisa wa serikali asubuhi unarukia kwenye daladala au mwendokasi kupitia dirishani?Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Ukifanya hivi, madhara yatakua ni mkubwa zaidi kwa sababu mfumo wa usafirishaji wa uma utazidiwa zaidi na kusababisha adha kubwa sana kwa wananchi...!! Maana hatuna mfumo wa usafiri wa uma wa kutosheleza watu wote hao (wasio na magari na watakaopaki magari yao home); Hali ya usafiri itakua ni mbaya sana sana!!Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Kwa usafiri upi huo wa umma uliopo hadi uwabane raia hivyo?Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Hizo namba A mpaka C uliwanunulia wewe, we jamaa bhanaa😂😂Kwenye kuagiza gharama ziwe chini, ila kwenye kuligharamia likiwa jijini, gharama ziwe juu ili kuepusha msongamano. Au waje na formula, namba A mpaka C zote, ziondoke jijini ziende mikoani, hii pia itapunguza msongamano.
Na ndio hawa hawa wanapenyaga hadi bungeni, inatisha sanaAkili za wapi hizi jamani? Tozo ya 1mil kwa mwezi?(hata kama ni mfano) Tunawalaumu viongozi kumbe watanzania uwezo wetu ni mdogo tu generally. Imagine sasa kama wewe ungekuwa mtoa maamuzi! Damnit!!
Ni kweli kulitimiza hili inabidi usafiri wa umma uboreshwe,na katika kuboresha huko ni kuruhusu kampuni hata kumi zenye sifa kufanya hiyo biasharaUkifanya hivi, madhara yatakua ni mkubwa zaidi kwa sababu mfumo wa usafirishaji wa uma utazidiwa zaidi na kusababisha adha kubwa sana kwa wananchi...!! Maana hatuna mfumo wa usafiri wa uma wa kutosheleza watu wote hao (wasio na magari na watakaopaki magari yao home); Hali ya usafiri itakua ni mbaya sana sana!!
Ni wazo zuri kama Mwendokasi ingekuwa na ufanisiNjia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Acha ujinga... Dar Es Salaam kuna watu wangapi na magari mangapi? Ongeza njia mbadala za kuja mjini, boresha bara bara zote ambazo watu hutumia wakati wa kiangazi kwenda mjini. Hii foleni unayoiona sasa wakatai huu wa mvua ni kwa kuwa hizo alternative feeder roads zimeharibika zina hali mbaya kila mtu anarudi nia kuu. Nini kazi ya Tarura, je wamefanikiwa kiasi gani, au lilikuwa chocho gtu la wapigaji?Bila kufanya hivyo,foleni haitaisha, magari yanaongezeka na yanazidi kushuka bei, huko tuendako kila mmoja atakuwa na usafiri utakaosababisha msongamano.
Uko sahihi,mbali tu na wingi wa magari,tukija kwa upande wa miundo mbinu njia panda zote (+) ndio chanzo cha msongamano, je unashauri kila palipo na njia panda pajengewe daraja la juu?Acha ujinga... Dar Es Salaam kuna watu wangapi na magari mangapi? Ongeza njia mbadala za kuja mjini, boresha bara bara zote ambazo watu hutumia wakati wa kiangazi kwenda mjini. Hii foleni unayoiona sasa wakatai huu wa mvua ni kwa kuwa hizo alternative feeder roads zimeharibika zina hali mbaya kila mtu anarudi nia kuu. Nini kazi ya Tarura, je wamefanikiwa kiasi gani, au lilikuwa chocho gtu la wapigaji?
Kwa hiyo mapendekezo yako ni kuua jiji la DSM? Ili watu wahamie miji mingine? Kaka mapendekezo yako hayataki watu kwenda mbele wewe unataka kuturudisha nyuma. Tembelea miji yote mikubwa duniani uone kama wamefanya kama unavyopendekeza. Kinachoyakiwa ni kuboresha miundo mbinu pamoja na kuimarisha na kuanzisha usafiri mpya wa umma. Yaani mwendo kasi ufike pote, treni za mjini, usafiri wa majini. Huwezi ukazuia magari binafsi wakati usafiri wa umma unashindwa kusafirisha watu mjini.Zitaamia kibaha,Rufiji, Morogoro n.k na pia itasaidia kukua kwa miji mingine