Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Na hao wamiliki wa magari wanaoishi Kariakoo, Ilala, Upanga nk wakayapeleke Kibaha sio!
 
Roho mbaya tu, halafu mtu kama huyu ndio unakuta anapewa teuzi, lazima madudu ya ajabu yatokee kama huko TRA na TCRA,.....
Kama mtu amezaliwa na kukulia kwenye maisha ya umasikini kwake kila kitu ni anasa.

Mpaka leo kuna watu wanaona kuwa na gari ni anasa.
 
Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Jitahidi umiliki gani hizi fikra finyu zitakwisha AUTOMATICALLY.

Na kama unamiliki tayari, then, we have a SITUATION here!.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Kwanza kabisa serikali ibebe jukumu la usafir kama mwenda kasi kila maeneo zifike au treni hii ni njia nzur si lazma gar zitoe kodi
 
Hata kama usafiri wa umma utakuwa kila mahali bila kuzuia magari binafsi yanayoongezeka siku hadi siku, msongamano bado unaweza kuwepo.Vinginevyo, majengo yaliyopo maeneo yanayosababisha misongamano yabomolewe ili kutanua barabara,pamoja na ujenzi wa madaraja ya juu pale penye njia panda n.k
 
Unauliza nini kifanyike? Tembeeni kwa miguu au kapaeni pale airport[emoji23][emoji23]
 
Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.

Akili za kipuuzi sana hizi, yani badala ya kuboresha miundo mbinu we unawazuia watu haki zao za msingi za kutumia miundo mbinu?
 
Back
Top Bottom