FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #201
Daah
Labda mpaka azunguke dunia nzima tutamwelewa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mpaka azunguke dunia nzima tutamwelewa[emoji3]
Na za bandarini kwenda Buguruni je? Au unataka yapitishwe malori mazitoya mizigo juu?Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Kuania pale Buguruni hadi TAZARA Fly over, nmesikia mahali , ilikuwa serikali ya Japan itoe msaada wa kujengewa Flyover nyingine.Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
tumwombe Mwenyezi Mungu, mama ataanza mazungumzo mapya naoKuania pale Buguruni hadi TAZARA Fly over, nmesikia mahali , ilikuwa serikali ya Japan itoe msaada wa kujengewa Flyover nyingine.
Tatizo serikali yetu ikaingia mgogoro wa kodi na watekelezaji wa miraidi ya kijapani, na misaada ikakoma.
Daah, tuombe tu mradi huo uanze haraka!! Leo nimejikoroga nikajichanganya nanile millory, masaa mawili yamekatika pale hivi hiviKuania pale Buguruni hadi TAZARA Fly over, nmesikia mahali , ilikuwa serikali ya Japan itoe msaada wa kujengewa Flyover nyingine.
Tatizo serikali yetu ikaingia mgogoro wa kodi na watekelezaji wa miraidi ya kijapani, na misaada ikakoma.