Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

kama mafisiemu yamejenga bandari kule kwala chalinze na haitumiki bado yananunua mayutong kwa maelfu unategemea nini? kama yangekua serious mizigo yooote wangechukulia kule chalinze wasepe nayo mikoani na nje ya nchi, na kama treni ndio ingekua inapeleka mizigo hiyo tena ile ya haraka shida ingekuwa hamna, sasa yanakomaa tu kununua ma yutong ukiyaambia hiyo bandari kavu walijenga ya nini utaskia sijui nani anaupiga mwingi,STUPID kabisa.
 
Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Kuania pale Buguruni hadi TAZARA Fly over, nmesikia mahali , ilikuwa serikali ya Japan itoe msaada wa kujengewa Flyover nyingine.
Tatizo serikali yetu ikaingia mgogoro wa kodi na watekelezaji wa miraidi ya kijapani, na misaada ikakoma.
 
Suala la Metro Dar ni la lazima, ndio njia pekee ya uhakika yakuanza kupunguza matatizo ya foleni na usafiri wa uma
 
Kuania pale Buguruni hadi TAZARA Fly over, nmesikia mahali , ilikuwa serikali ya Japan itoe msaada wa kujengewa Flyover nyingine.
Tatizo serikali yetu ikaingia mgogoro wa kodi na watekelezaji wa miraidi ya kijapani, na misaada ikakoma.
Daah, tuombe tu mradi huo uanze haraka!! Leo nimejikoroga nikajichanganya nanile millory, masaa mawili yamekatika pale hivi hivi
 
Hali ni mbaya mbaya mbaya sana muda huu kwenye hii barabara…
 
Back
Top Bottom