Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Tena kama mna mikopo inaweza kununuliwa na benki unayohamia ili kupata huduma bora.Shukrani sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kama mna mikopo inaweza kununuliwa na benki unayohamia ili kupata huduma bora.Shukrani sana
Uongo, NMB tunawajua mnachezesha mtandao maksudi Mpige faida kwenye NMB WAKALAKwa leo tangu saa 2 asubuhi kulikuwa na tatizo la network NMB zote. Hii ilifanya huduma za ndani zisimame kwa muda na kurejea saa 4 asubuhi.
Hali hii ilisababisha foleni kwa muda ila baadae hali ilitengemaa
Ukitaka kuwajua NMB ni nani we jifanye unatoa bank kwenda mitandao ya simu ndo utajua!! 20,000 wanakata karibu 15%NMB inatumia njia ya kuhodhi mamlaka na kujipatia faida lukuki. Pensheni zote za umma lazima zipitie NMB - KWANINI? Kwanini wastaafu wasipewe haki ya kuchagua benki wazipendazo badala ya kulazimishwa na NMB?
Halafu NMB inatoza malipo eti ya kadi kila mwezi pamoja na huduma ya mtandao. Kuna benki nyingi hapa nchini hazina tozo kama NMB. Huu ni wizi. Halafu wanasema eti NMB inaongoza
KwahiyoWafanyakazi wa NMB wanamiliki NMB wakala zilizo karibu na Benk wanazofanyia kazi!! So wana slow down huduma mwenda kwenye vibanda vyao wapige faida!! This is capitalism, Nyerere alituchelewesha
Unaishi wapi?? Hayo ndo yanayoendelea!!Kwahiyo
1. wa Muhimbili (mahospitali) nao wakifanya haya na wakafungua maduka ya madawa nje ya hospitali, is capitalism nyerere alituchelewesha?
2. Wa DAWASCO nao wakifanya haya wakachimba visima pembeni ya bomba la DASCO, is capitalism nyerere alituchelewesha?
3. Wa mwendokasi nao wakifanya haya na kuweka madaladala yao, is capitalism nyerere alituchelewesha?
etc
Tutumie mawakala sio lazima tupange foleni branch.....Nchi nyingine wamepunguza kabisa matawi ya benki na wafanyakazi. Mambo karibu yote yanafanyika online. Inatakiwa benki za Tanzania ziwe na mwelekeo huu. Anyways najua pengine mazingira yetu hayaruhusu jambo kama hili kufanyika kwa sasa, ila serikali ikubali kuwa kuwa na database ya raia wote na mtandao wa interenet unaoaminika mambo mengi yanakwama.
Kwanini wahudumu kwenye hizo tarehe ulizotaja ndio wawe wachache na wajidai badala yake wanakuwa wanachache pindi pakiwa na wateja wengi?Tarehe hizi hujui mzee kuna nini NMB... Njoo NMB kuanzia tarehe 10 hadi 19 uenjoy chap tu..
Tatizo letu Watanzania ni uoga, upole na uvumilivu wa kupitiliza. Tungekua tunawabwatukia au kuwapigia makelele wangejirekebisha. Watanzania hata wakiwa kwenye foleni itokee mtu anawapita kwenda mbele, wao wananyamaza tuu wanamuangalia.... baadae wanakuja kulalamika chinichini!Kwanini wahudumu kwenye hizo tarehe ulizotaja ndio wawe wachache na wajidai badala yake wanakuwa wanachache pindi pakiwa na wateja wengi?
Inabidi watambue ninkipindi kipi cha wateja kuwa wengi na wao waongeze nguvu na kinyume chache ili kuepusha hizi adha.
Ninaishi hapa hapa yanayoendelea hayouliyoyataja. Tatizo langu ni huko kuona kwako kuwa hayo ni sawa yaendelee kama yanavyofanywa na ukaenda mbali zaidi kwa kumlaumu Nyerere kuwa alituchelewesha..!! Hivi!! unadhani kwa vile kuna wizi kila inapotoka ripoti ya CAG, basi ni sawa tuibiwe kwa vile ndo yanayoendelea..!!??Unaishi wapi?? Hayo ndo yanayoendelea!!
• Huu mwezi naskia mtonyo ulichelewa kutolewa, Yaweza kuwa shida ni hiyo,Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.
Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma.
Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana Nikawa Kibaha NMB, foleni kubwa na Huduma mbovu, Leo tena hivyo hivyo. View attachment 2857280
Hii nchi uhuru ni mwingiHizi ni tarehe ambazo nyie wafanyakazi huwa mnalipwa mishahara.
Kaka unavyo shangaa hata wengine tuna shangaa hivyo hivyo, lakini naomba usome post yangu vizuri nimesema, nilikuwa na shida ndogo tu. Bahati mbaya nikakutana na mtu mwingine ana shida ya Kadi tu amekalishwa masaa zaidi ya mawili. Kumbuka benk kuna kazi nyingi mara kufungua acc, nk..Nina akaunti za akiba NMB, Pamoja na kuziendesha kwa miaka mingi tu ni nadra sana kuonekana kwenye Branch zao au ATM. Natumia zaidi NMB mkononi na NMB Internet Banking kupitia simu ya mkononi na computer.
Najiuliza foleni zinazosemwa huwa zinasabishwa na nini? Mshahara ukiingizwa kwenye akaunti ya mteja, kuna ulazima gani wa kwenda kupanga foleni kwenye branchi?......Naomba ufafanuzi tafadhali.