Kutawaka moto kama ni ukweli I hope ni uongoHuu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
akae atulie tunascan form now
Kauli yangu ya uchaguzi siku hizi unafanyika kwenye servers na sio kwenye kura ya wananchi.
Na imani ndogo kama fomu 34A 32B zitatoka
Hatua nzuri, ushindi wa kihalali ndio muhimuKiongozi wa IEBC amesema ameanza kuyakusanya hayo mafomu yote na kuyaweka wazi, ni hatua nzuri hiyo ili atakayeshindwa atulie tuli na kutuachia nchi yetu.
kwa nini waliya skip mwanzoni? Hapo ndipo ukweli ulipo as long as kila kituo cha kupigia kura kina mwakilishi wa raila anayeaminika, Uhuru anayeaminika, problem solvedKiongozi wa IEBC amesema ameanza kuyakusanya hayo mafomu yote na kuyaweka wazi, ni hatua nzuri hiyo ili atakayeshindwa atulie tuli na kutuachia nchi yetu.
Na pia ni vema na kiganja cha Chris Musando rip ⚰ kijulikane kilipoHuu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Let them be calmHaya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.
A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
NASA walienda mahakaman kuomba kura ziendelee kuhesabiwa toka kwenye majimbo na vituoni directly ila kama utatokea ubishan ndio form zitatumika kuthibitisha.........kwa nini waliya skip mwanzoni? Hapo ndipo ukweli ulipo as long as kila kituo cha kupigia kura kina mwakilishi wa raila anayeaminika, Uhuru anayeaminika, problem solved
Washaanza? eenhe. Nimeishi Kisumu nikisoma Maseno university nawatambua vizuri. Lakini hiyo ni kidogo tu. Ni mpaka BABA aseme ndio mambo ianze. Kwa sasa tuko salamaHaya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.
A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
Hivi Ruto si ameshapigwa chini tayari au?NASA wana hali mbaya sana sa hii..... wanazidi kupoteza viti vingi sana vya senetor na magavana wao wanalia na uraisi......
tatzo lao walipokea makap mengi mno, mtu kama Isaac Ruto aliwaahd kura 2mil kutoka bonde la ufa mpk sasa hali mbaya huko, inaonesha ushawish hakua nao
Sent using Jamii Forums mobile app