Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Kutawaka moto kama ni ukweli I hope ni uongo
 
Kauli yangu ya uchaguzi siku hizi unafanyika kwenye servers na sio kwenye kura ya wananchi.
Na imani ndogo kama fomu 34A 34B zitatoka
 
Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
 
Kiongozi wa IEBC amesema ameanza kuyakusanya hayo mafomu yote na kuyaweka wazi, ni hatua nzuri hiyo ili atakayeshindwa atulie tuli na kutuachia nchi yetu.
kwa nini waliya skip mwanzoni? Hapo ndipo ukweli ulipo as long as kila kituo cha kupigia kura kina mwakilishi wa raila anayeaminika, Uhuru anayeaminika, problem solved
 
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Na pia ni vema na kiganja cha Chris Musando rip ⚰ kijulikane kilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
Let them be calm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa nini waliya skip mwanzoni? Hapo ndipo ukweli ulipo as long as kila kituo cha kupigia kura kina mwakilishi wa raila anayeaminika, Uhuru anayeaminika, problem solved
NASA walienda mahakaman kuomba kura ziendelee kuhesabiwa toka kwenye majimbo na vituoni directly ila kama utatokea ubishan ndio form zitatumika kuthibitisha.........

kumbuka utaratibu wa tume ulikua ni kutumia form na sio matokeo ya moja kwa moja bila form, ila wao NASA wakasema kutakua na wizi kwa njia hio, ndio maana wakafile kesi mahakaman na mahakama kuu ikawakubalia.......

kwaio walichofanya IEBC kilikua ni kutokana na rulling ya mahakama kwa kufuata maombi ya NASA,...... hakuna kosa limefanyika hapa ndugu ni vile tu saiz wanaona wanapigwa ndio kulalamika.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASA wana hali mbaya sana sa hii..... wanazidi kupoteza viti vingi sana vya senetor na magavana wao wanalia na uraisi......

tatzo lao walipokea makap mengi mno, mtu kama Isaac Ruto aliwaahd kura 2mil kutoka bonde la ufa mpk sasa hali mbaya huko, inaonesha ushawish hakua nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
Washaanza? eenhe. Nimeishi Kisumu nikisoma Maseno university nawatambua vizuri. Lakini hiyo ni kidogo tu. Ni mpaka BABA aseme ndio mambo ianze. Kwa sasa tuko salama
 
This time around iwe ni zamu ya Raila kwenda the hague aisee
 
NASA wana hali mbaya sana sa hii..... wanazidi kupoteza viti vingi sana vya senetor na magavana wao wanalia na uraisi......

tatzo lao walipokea makap mengi mno, mtu kama Isaac Ruto aliwaahd kura 2mil kutoka bonde la ufa mpk sasa hali mbaya huko, inaonesha ushawish hakua nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ruto si ameshapigwa chini tayari au?
 
Hiyo ndiyo demokrasia nchi zetu ndani ya bara letu
 
Back
Top Bottom