Huyo alitakiwa achome hio tyre kwa kagame kule,angejua vurugu maana yake ni nini!!Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.
A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
aliowapigia kampeni wote wamepigwa chini...... et yeye ndio aliahid NASA 2mil votes from rift valley ...... huyu mzee wa watu walimdanganya sana aiseeHivi Ruto si ameshapigwa chini tayari au?
2mil votes?hahah akili yake imevurugww huyo aiseealiowapigia kampeni wote wamepigwa chini...... et yeye ndio aliahid NASA 2mil votes from rift valley ...... huyu mzee wa watu walimdanganya sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
MK254Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Na huku kwetu.......Nabii (Mtakatifu tarajiwa) aliapa, Madaraka ya Uraisi wasipewe watu kutoka Kanda ya Ziwa....!!Nchi hiyo hawezi pewa Jaluo hata siku moja
Majority of kenyans can understand English, so ukutumia Kingereza Kenya wakenya wengi wataelewa unachokisema. Wengi wanaskia but speaking it can be hard to a good number of Kenyans. But kuzungumza I guess every Kenyan can speak in Kiswahili. Almost every KenyanMK254
Naomba msaada wako mkuu,
Kenya asilimia kubwa ya watu wake wanaongea Kiswahili na lugha za asili,na ni asilimia ndogo sana wanao jua kingereza na kiswahili,
Swali?
Kwanini viongozi wengi wa nnchi wanatumia kingereza wanapo ongea mambo ya Kitaifa mfano bunge na Tasisi za serikali kama polisi nk
Mbaya zaidi juzi wakiomba kura walitumia kiswahili,hata wale wabunge walitumia kiswahili kuombea kura
Hebu nisaidie hii inatokana na nn?
Hizo fomu anazodai odinga ni muhimu.na ni haki yake kupewa huwezi tangaza matokeo bila verifiable supporting documents Kama hizo fomu za matokeo zilizosainiwa na mawakala vituoni kura zilipopigwa. Fomu hizo ziwekwe hadharani za kila kituo na zilinganishwe na matokeo ya hizo mashineHuu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Naona tangu alipotangaza kuyakataa hasa kuanzia saa sita mchana, kasi ya UHURU kumzidi imepungua sana. Kiganja cha yule jamaa kimefanya kazi nzuriHuu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Alisemaje kwani? Tupe historiaNiliimba sana Raila hawezi kuwa raisi wa kenya. Kauli ya hayati mzee Jommo Hayakuuacha ukoo wa Odinga salama
alisema: "Asante ya punda ni matege (akimaanisha mateke). Hii mtu (odinga) ni mbaya sana haifai kuwa kiongozi kenya".Mkuu mzee jomo alisema nn kuhusu odinga tufahamu na sisi
DPP
Alimwambia Mzee Odinga (baba yake ba Raila) kuwa: Asante ya punda ni matege (akimaanisha shukrani ya punda ni mateke) baada ya wao kukosana katika masuala ya kisiasa (awali walikuwa pamioja). Mzee kenyata alisisitiza kuwa Hii mutu haifai kabisa kuwa kiongozi kenya.Alisemaje kwani? Tupe historia
Kuna aliesema yanakuhusu?mambo yao yanawausu nini
Hahaha wangekiona walahi