Mkuu mimi sio mpenzi wa bongo movie. Sijawahi nunua wala kuangalia mwanzo mwisho. Mimi napenda cd za wakina kinyambe mtanga erick majuto mzee masele chapombe jangala kidogo na wengine wengi wanao fanana na hao.Hao bongo movie kila saa kulia lia hata sehemu isiyotakiwa kulia halafu wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri.Bongo movie wanachojua ni kuhamasisha ngono. Mia
asante mkuu kwa jibu zuri
Only GOd can judge her
Bongo bado sana C and P nying sana, Waandaa script shule Zero.....
Lulu bado sana ila tayari sana kwa Kuto..mb..eka
movie za ki bongo angalau huwa nzuri ni za wastara na enzi za sajuki,mavazi ya heshima na story kidogo zinazoeleweka.hao wengine ndio hivyo hivyo tu
Ila ndo kaanza kuandaa movie yake mwenyew,hii ndo mara yake ya kwanza,tumpe second chance nadhan atakuwa ameona mapungufu yake kwenye hyo movie,too much maneno hayawezi badilisha movie iwe nzur,instead tumpongez kwa hatua aliyofikia,kutengeneza movie sio mchezo bwana,we endelea kusikia tu fulani katoa movie ila japokuw movie zetu bado ila kutoa movie sio kaz ndog,hongera dogo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umeponda weee mwisho ukamalizia na promo ya going to bongo
umeponda weee mwisho ukamalizia na promo ya going to bongo
Filamu za kibongo bwana..yaani mtazamaji unaona aibu kama wewe ndio unaigiza..