Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Mkuu mimi sio mpenzi wa bongo movie. Sijawahi nunua wala kuangalia mwanzo mwisho. Mimi napenda cd za wakina kinyambe mtanga erick majuto mzee masele chapombe jangala kidogo na wengine wengi wanao fanana na hao.Hao bongo movie kila saa kulia lia hata sehemu isiyotakiwa kulia halafu wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri.Bongo movie wanachojua ni kuhamasisha ngono. Mia

mkuu umemaliza kila kitu labda kwa kuongezea kidogo ni pamoja na matumizi ya kidhungu ya kuunga unga kama SO WHAT,WHAAT!, ARE YOU CRAZY!, ARE YOU OUT OF YOUR MIND. Wawaige wenzao wa Nigeria wanafanya vizuri.
 
Niko tayari kuangalia Bongo comedy na siyo Bongo movie.

Poleni sana mnaopoteza muda wenu kuangalia genge la drud mules wakiuza sura.
 
Tatizo wabongo kila muigizaji anataka awe director na producer awe anatoa movie zake, ndio maana movie zao zinakosa uhalisia title haisadifu yaliyomo stori zenyewe hazipotray what is happening in a society.
 
Mie nadhani wangeiga kutoka kwenye SIRI YA MTUNGU kuanzia quality ya picha mpka uigizaji.
 
I disconnected myself from Bongo Movies very longtime ago. I'd rather spend hours watching Series than intoxicate my mind with low quality unrealistic flopy bongo movies.
 
movie za ki bongo angalau huwa nzuri ni za wastara na enzi za sajuki,mavazi ya heshima na story kidogo zinazoeleweka.hao wengine ndio hivyo hivyo tu
 
Bongo bado sana C and P nying sana, Waandaa script shule Zero.....
Lulu bado sana ila tayari sana kwa Kuto..mb..eka

Tatizo la wasanii wakibongo wakitoa filamu zao wanataka wao wenyewe wawe madirector kisa tu filamu ni zao.hyo movie ni uchafu nashangaa hata kwa nn alitumia mamilion kuifanyia uzinduzi tena mliman bora angepotezea tu,duh yaan hadi aibu kajisemea mdau apa kuigiza waigize wao ila aibu unaona wew
 
movie za ki bongo angalau huwa nzuri ni za wastara na enzi za sajuki,mavazi ya heshima na story kidogo zinazoeleweka.hao wengine ndio hivyo hivyo tu

sasa movie yenyewe eti Jamnazi anavamia nyumbani, anavua viatu ili asichafue nyumba!! upuuzi mtupu
 
Attachments

  • jambazi-bongo movie.jpg
    jambazi-bongo movie.jpg
    30.9 KB · Views: 170
Ila ndo kaanza kuandaa movie yake mwenyew,hii ndo mara yake ya kwanza,tumpe second chance nadhan atakuwa ameona mapungufu yake kwenye hyo movie,too much maneno hayawezi badilisha movie iwe nzur,instead tumpongez kwa hatua aliyofikia,kutengeneza movie sio mchezo bwana,we endelea kusikia tu fulani katoa movie ila japokuw movie zetu bado ila kutoa movie sio kaz ndog,hongera dogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kusifia ujinga ni kazi ya maccm kama wewe.
 
Bongo hakuna movie tuyaite maigizo tu....tumalize mzizi wa fitna
 
Back
Top Bottom