mi mwenyewe nilivumilia sana mpaka kuimaliza!!!
sasa kama wanasema easanii ndio kioo cha jamii,,
sasa mr hasheem kambi (father lulu) alitufunza nini pale alipomnywesha mwanae arv bila kumpa maelezo ni kitu gani hasa kile?
hii kweli foolish age!
kwangu wasanii ni mzee Majuto, jb kidogo ukikaa kwa tv utacheka kidogo,wengi wao ni sifuri.
Yaani kuna watu wameisaka kabisaa waitizame?
Bongo movies hazitakaa zibadilike. Give up aisee
Mimi ndo sijaona kabisa maana ya foolish age mana lulu kazaliwa victim nilitegemea angekuja kua victim kama result ya foolish age, nilijuta muda wangu bora ningeangalia series yangu ya revenge
vipi yule ray mpiga kelele kwenye tv?
yani jamaa sijui kwanini hawaongeagi kistaarabu!!
au mic huwa ni mbovu?
Mimi ndo sijaona kabisa maana ya foolish age mana lulu kazaliwa victim nilitegemea angekuja kua victim kama result ya foolish age, nilijuta muda wangu bora ningeangalia series yangu ya revenge
guys,
for sure bongo movies needs some prayers so as to change positively!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
iam speaking from the bottom of my heart, this so called 'foolish age' by lulu michael, is boring , 'chosharing' so much!!
i was really impressed to hear our little girl 'lulu' has come with something new and fantastic, something that could atlwast show that she has some kind of education in her head!!!!!! ptuu!!! pumba tu!!!
overral say to the movie, kwanza jina la movie halijaakisi yaliyomo ndani kabisaaaa!!!!!! kama kweli lulu ndiye aliyetoa idea ya foolish age, but she is not there in the foolish age, that means hajui maana ya foolish age!!
.. i got bored every second that i was watching this movie, nilikuwa najaribu kupeleka mbele ili angalau nione kitu kipya, kumbe bure tu!!! hivi kwa elimu ya TANZANIA ama hata nchi za wenzetu, kuna daras weli ukute eti lina wanafunzi saba??? halafu eti interaction unauta ni ya wanafunzi wawili ama watatu tu? (yani wale waigizaji!!)
kuanzia mwanzo mpaka finishing ya hii movie, sijaona FOOLISH AGE!
mimi mpaka sasa nasubiri GOING BONGO, hii movie ni nzuri sana wadau, jaribu kuingia youube uione ilivyo tamu! ni movie nzuri sana ya kitanzania! ina quality zooote za kuoneshwa kimataifa!!! let us support our friend!
lulu ajipange sawa sawa, fursa za ruge zisimzingue!!!
Sikumbuki kama nilishaangalia movie ya kibongo hadi mwisho.Phew!...hazitamaniki.
Bongo movie bongo lala..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
unajua nini tatizo dada,
kwenye bongo movie zimejaa division five nyiiiingi ambazo thinking capacities zinaishia sokoni kariakoo!!
ukiwaambia suala la shule wanakuona kuwa wewe ni snitch!
wakishazeeka sasa ndio wanakuja kutuomba misaada sisi!!
ona wasanii kama jackline wolper, irene uwoya, ray, lulu, mtitu, na wengineo.
hivi viwango vyao vya elimu vikoje?
Niko tayari kuangalia Bongo comedy na siyo Bongo movie.
Poleni sana mnaopoteza muda wenu kuangalia genge la drud mules wakiuza sura.
Mhh kumbe ,bora sijaitafutaga hata,mana kwa uzinduzi wake nilijua kittuu cha maana