Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

mi mwenyewe nilivumilia sana mpaka kuimaliza!!!

sasa kama wanasema easanii ndio kioo cha jamii,,

sasa mr hasheem kambi (father lulu) alitufunza nini pale alipomnywesha mwanae arv bila kumpa maelezo ni kitu gani hasa kile?

hii kweli foolish age!

Mimi ndo sijaona kabisa maana ya foolish age mana lulu kazaliwa victim nilitegemea angekuja kua victim kama result ya foolish age, nilijuta muda wangu bora ningeangalia series yangu ya revenge
 
Yaani kuna watu wameisaka kabisaa waitizame?
Bongo movies hazitakaa zibadilike. Give up aisee
 
kwangu wasanii ni mzee Majuto, jb kidogo ukikaa kwa tv utacheka kidogo,wengi wao ni sifuri.

vipi yule ray mpiga kelele kwenye tv?

yani jamaa sijui kwanini hawaongeagi kistaarabu!!

au mic huwa ni mbovu?
 
Yaani kuna watu wameisaka kabisaa waitizame?
Bongo movies hazitakaa zibadilike. Give up aisee

unajua nini tatizo dada,

kwenye bongo movie zimejaa division five nyiiiingi ambazo thinking capacities zinaishia sokoni kariakoo!!

ukiwaambia suala la shule wanakuona kuwa wewe ni snitch!

wakishazeeka sasa ndio wanakuja kutuomba misaada sisi!!

ona wasanii kama jackline wolper, irene uwoya, ray, lulu, mtitu, na wengineo.

hivi viwango vyao vya elimu vikoje?
 
Mimi ndo sijaona kabisa maana ya foolish age mana lulu kazaliwa victim nilitegemea angekuja kua victim kama result ya foolish age, nilijuta muda wangu bora ningeangalia series yangu ya revenge

hivi huyu dogo alimaliza shule kweli?
 
Yaani bongo movies ntabaki kumkubali jb pekee.angalau anatendea kazi japo anachocopy. Lulu cku nyingine ukitaka kuingza taaluma za watu Kwenye maigizo plz tafuta mtaalamu hucka akupe abc za hyo taaluma.mmewavua nguo Daktari na NGO's pluss Gvt of Tz..ARV hatupeani vile bana..inaamana hata kauli mbiu yetu ya Tz bila UKIMWI haijaeleweka kiasi hicho?sio Kweli.eti HIV results ilisoma positive baada ya siku moja!!Kweli?mmenivuruga sana hadi nliona Haya km me ndiye nilidirect au kuedit hyo movie yako...
 
Mimi ndo sijaona kabisa maana ya foolish age mana lulu kazaliwa victim nilitegemea angekuja kua victim kama result ya foolish age, nilijuta muda wangu bora ningeangalia series yangu ya revenge

Umeona ee..na hivi sn 3 iko sokoni.ingeangalia tu.
 
yaan ile muvi ni mbaya balaa.. kwanza lulu kafunikwa na yule mikogo, afu nahs n ya kitambo kabala hata ya huyo lulu hajaenda china (segerea).. anachowaza ni kuuza K kwa vigogo tu.. yaan huyo dogo dah!!
sema namsifu anaiuza kwa faida naskia anamalizia mjengo wa ukweli kimara sio kama wema naskia hata ile nyumba ya m400 siyo yake kakodi na kuweka mbwembwe zote hizo!!!
 
mbaya kweli we ulitaka iwe.................................?:A S-confused1:
 
kimsingi mimi siangalii hata maigizo, kwa bongo kwakweli nafuatilia kipindi cha magazetini tu.
wasanii wabongo bado saaanaaaaaa:tape:
 
guys,

for sure bongo movies needs some prayers so as to change positively!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

iam speaking from the bottom of my heart, this so called 'foolish age' by lulu michael, is boring , 'chosharing' so much!!

i was really impressed to hear our little girl 'lulu' has come with something new and fantastic, something that could atlwast show that she has some kind of education in her head!!!!!! ptuu!!! pumba tu!!!

overral say to the movie, kwanza jina la movie halijaakisi yaliyomo ndani kabisaaaa!!!!!! kama kweli lulu ndiye aliyetoa idea ya foolish age, but she is not there in the foolish age, that means hajui maana ya foolish age!!

.. i got bored every second that i was watching this movie, nilikuwa najaribu kupeleka mbele ili angalau nione kitu kipya, kumbe bure tu!!! hivi kwa elimu ya TANZANIA ama hata nchi za wenzetu, kuna daras weli ukute eti lina wanafunzi saba??? halafu eti interaction unauta ni ya wanafunzi wawili ama watatu tu? (yani wale waigizaji!!)

kuanzia mwanzo mpaka finishing ya hii movie, sijaona FOOLISH AGE!

mimi mpaka sasa nasubiri GOING BONGO, hii movie ni nzuri sana wadau, jaribu kuingia youube uione ilivyo tamu! ni movie nzuri sana ya kitanzania! ina quality zooote za kuoneshwa kimataifa!!! let us support our friend!

lulu ajipange sawa sawa, fursa za ruge zisimzingue!!!

Sikumbuki kama nilishaangalia movie ya kibongo hadi mwisho.Phew!...hazitamaniki.
 
unajua nini tatizo dada,

kwenye bongo movie zimejaa division five nyiiiingi ambazo thinking capacities zinaishia sokoni kariakoo!!

ukiwaambia suala la shule wanakuona kuwa wewe ni snitch!

wakishazeeka sasa ndio wanakuja kutuomba misaada sisi!!

ona wasanii kama jackline wolper, irene uwoya, ray, lulu, mtitu, na wengineo.

hivi viwango vyao vya elimu vikoje?

Kiongozi usipate shida ya kujua elimu zao.wengi au wote ni form four failures sana sana kama wamesoma basi ni certificate ya english course basi.ukiwaeleza juu ya elimu wao wanafikiri ni kwa ajira pekee,na kusahau elimu ni zaidi ya ajira. Na kwa elimu zao ndogo wanashindwa kujua kwamba uigizaji ni kipaji na sio uzuri wa sura au wingi wa scandal! Wanajiona superstar kwa kuandikwa mara kwa mara ktk magazeti ya udaku.eti nikanunue bongo movie? Bora hata za pilau
 
Mhh kumbe ,bora sijaitafutaga hata,mana kwa uzinduzi wake nilijua kittuu cha maana
 
Niko tayari kuangalia Bongo comedy na siyo Bongo movie.

Poleni sana mnaopoteza muda wenu kuangalia genge la drud mules wakiuza sura.

Hao kama jumuiya ya bongo movie,waanzishe website na wawe wanajitangaza na zaidi wawe tayari kupokea pongezi na mapungufu yao.

Hapa dar ukiwa mzuri wa sura baaasi unakipaji cha kuigiza! Ndio maana king majuto yuko juu sana
 
Mhh kumbe ,bora sijaitafutaga hata,mana kwa uzinduzi wake nilijua kittuu cha maana

mi niliiangalia kwa siku kama nne ndo nikaimaliza.. it was boring and boring!

sijui kwanini nilipoteza elfu elfu zangu kununua copy.. its boring
 
Back
Top Bottom