Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
guys,

For sure bongo movies needs some prayers so as to change positively.

Iam speaking from the bottom of my heart, this so called 'foolish age' by Lulu michael, is boring , 'chosharing' so much!!

I was really impressed to hear our little girl 'lulu' has come with something new and fantastic, something that could atlwast show that she has some kind of education in her head, ptuu! pumba tu!

Overral say to the movie, kwanza jina la movie halijaakisi yaliyomo ndani kabisaaaa, kama kweli Lulu ndiye aliyetoa idea ya foolish age, but she is not there in the foolish age, that means hajui maana ya foolish age.

I got bored every second that i was watching this movie, nilikuwa najaribu kupeleka mbele ili angalau nione kitu kipya, kumbe bure tu, hivi kwa elimu ya TANZANIA ama hata nchi za wenzetu, kuna daras weli ukute eti lina wanafunzi saba??? halafu eti interaction unauta ni ya wanafunzi wawili ama watatu tu? (yani wale waigizaji!!)

kuanzia mwanzo mpaka finishing ya hii movie, sijaona FOOLISH AGE!

mimi mpaka sasa nasubiri GOING BONGO, hii movie ni nzuri sana wadau, jaribu kuingia youube uione ilivyo tamu! ni movie nzuri sana ya kitanzania! ina quality zooote za kuoneshwa kimataifa!!! let us support our friend!

lulu ajipange sawa sawa, fursa za ruge zisimzingue!!!
 
Yaani mimi siipendi hyo muvi acha kabisa.
Ni mbaya, mbaya, mbaya sana.
 
Tanzania naangalia comedy tuuu tena za mzee mayuto atlist ananichekesha na kina kitale,cha pombe
ze comedy over boaring yan kizaizai
ukiangalia action za bongo ati waenda tekwa alaf katika handbag umebeba kamba na solotape ya kuzibwa mdomo
Mwanzo wa movie yu can predict kama ulisaidia andika script zina kera hazina uhalisia wa maisha ya kitanzania yan ni maigizo ndani ya maigizo

Tujitahidi kuboresha maana watu watesema sisi sio wazalendo ila huwez niambia ninunue movie ya kina lulu kujikasirisha at the end waangalia movie unakasirika cast wanavyofanya upuuz
 
Hapana, sio huyo, Ni Lulu Michael anayehusishwa na kifo cha Kanumba.

Elizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".

Wapi figganigga useme "mia" au Washawasha useme "Nalogoff"??
 
Last edited by a moderator:
kumbe madam ushaiona ilivyooza!!??

naona aibu sana kuwa mwigizaji!

Nimeshaiona mdogo wangu minofu.
Imeozaje!
Hapana, kama una kipaji cha maigizo, igiza...ila angalia movie zenye mpangilio.
Ila kwa Foolish Age...katokosa balaa.
 
Last edited by a moderator:
Sijui hata watunzi wa movie za bongo wanawazaje,umeanza tu kuangalia movie basi utajua inaishia vipi,acha mbali quality ya video,maana hata movie za Ousofia(mnaijeria) nyingi quality za kawaida ila movie inavutia kutokana na idea
 
Elizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".Wapi figganigga useme "mia" au Washawasha useme "Nalogoff"??
Mkuu mimi sio mpenzi wa bongo movie. Sijawahi nunua wala kuangalia mwanzo mwisho. Mimi napenda cd za wakina kinyambe mtanga erick majuto mzee masele chapombe jangala kidogo na wengine wengi wanao fanana na hao.Hao bongo movie kila saa kulia lia hata sehemu isiyotakiwa kulia halafu wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri.Bongo movie wanachojua ni kuhamasisha ngono. Mia
 
Last edited by a moderator:
Kanumba (R.I.P) ndo alikuwa anaweza kuwabeba na kuwasaidia
hawa watu, zaidi ya hapo usitegemee kitu kizuri kutoka kwenye
hiyo bongo muvi.
 
2kisema 2napenda muvi za kinaija mnasema eti ha2na uzalendo...,muv nyingi za kibongo hazko real,ni uharo m2pu
 
Back
Top Bottom