Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

ukitaka kuangalu bongo movie atleast za Jackob steven aka Jb. ni bora nikaangalia katuni ya kirikuo au tom and jery kuliko hicho kinyaa cha bongo movies kinachoigiza mapenzo kila kukicha
 
na wewe ni wale wale tu wa bongo movolie,unatuchanganya hapa na kiswanglish chako ungetiririka eng au swhl mwanzo kwisho
 
.................wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri............../QUOTE]
Hapo hakika unamzungumzia mr.kigosi!jamaa anakelele yule!
 
.................wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri............../QUOTE]
Hapo hakika unamzungumzia mr.kigosi!jamaa anakelele yule!

Hahaha kha umeniacha hoi....kweli jamaa ni kelele mwanzo mwisho hahaha na ile kauli ya "pumbavuuuuuu" inaboa ile mbaya....soo dumb!
 
jaman jamn jamn hyo movie ni MBOVU,MBAYA,INABOA NA KUKERA...Mimi nimepoteza buku yangu ya kukodisha hyo movie ili niione...yan kwa mbwembwe milion laki nane nikaiweka niichek...looh,jamn ni Mbaya...lulu sijui amefanya nini...promo bab kubwa ila hyo kitu yenyew ni sifuri..Aaaangrrrryyyy
 
Ukiangalia the team ya eatv hadi roho inasuhuzika. Kwa hapa tz nachek kina majuto,kitale na comedians wengne.
 
Wanatakiwa kujifunza kwa wanaigeria. Sijui kwanini huwa hawajifunzi toka kwa wenzao au watu walio juu ktk tasnia hii .Kama wadau wa humu wanayosema ndivyo yalivyo Napata taabu kuamini kwamba huwa hawaikagui kabla ya kuipeleka sokoni. Wanatakiwa wao wenyewe wajiridhishe ndio wafanye maamuzi ya kupeleka sokoni. siku nyingi kidogo nliwahi kuiangalia movie iliyochezwa na R.I.P kanumba alipoact yeye ni kipofu ile ilikua nzuri kiasi.
 
guys,

for sure bongo movies needs some prayers so as to change positively!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

iam speaking from the bottom of my heart, this so called 'foolish age' by lulu michael, is boring , 'chosharing' so much!!

i was really impressed to hear our little girl 'lulu' has come with something new and fantastic, something that could atlwast show that she has some kind of education in her head!!!!!! ptuu!!! pumba tu!!!

overral say to the movie, kwanza jina la movie halijaakisi yaliyomo ndani kabisaaaa!!!!!! kama kweli lulu ndiye aliyetoa idea ya foolish age, but she is not there in the foolish age, that means hajui maana ya foolish age!!

.. i got bored every second that i was watching this movie, nilikuwa najaribu kupeleka mbele ili angalau nione kitu kipya, kumbe bure tu!!! hivi kwa elimu ya TANZANIA ama hata nchi za wenzetu, kuna daras weli ukute eti lina wanafunzi saba??? halafu eti interaction unauta ni ya wanafunzi wawili ama watatu tu? (yani wale waigizaji!!)

kuanzia mwanzo mpaka finishing ya hii movie, sijaona FOOLISH AGE!

mimi mpaka sasa nasubiri GOING BONGO, hii movie ni nzuri sana wadau, jaribu kuingia youube uione ilivyo tamu! ni movie nzuri sana ya kitanzania! ina quality zooote za kuoneshwa kimataifa!!! let us support our friend!

lulu ajipange sawa sawa, fursa za ruge zisimzingue!!!
Ni kweli Bongo bado tuna safari ndefu kifilamu. Hiyo Going bongo bila mkono wa mzungu unadhani ingekuwa hivyo? Kwanza inaonekana ni filamu ya mradi fulani. Not just a film, so ina wafadhili nyuma yake. Ila tutafika tu.
 
Afu kweli aisee movie inaboa mwanzo mwisho yani jina la movie halisadifu yaliyomo kabisaaaa!! Hata part2 yake cjaimalizia we shule gani ya kitanzania inaruhusu yule rafiki yake lulu kunyoa nywele kidizain ilee hata kama ni mtukutu loh yani imepooza kama wali wa mafuta khaa!! Ajipange upya huyo lulu!!
 
serikali ya bongo haina mkono wake katika suala la filamu..!

na mi kwanza naona ni bora hata wasiunge mkono maana mtu mwenyewe wa kupewa pesa ni nani?

ooppss!! sorry for saying this! ntafukuzwa kundini bure!
 
Afu kweli aisee movie inaboa mwanzo mwisho yani jina la movie halisadifu yaliyomo kabisaaaa!! Hata part2 yake cjaimalizia we shule gani ya kitanzania inaruhusu yule rafiki yake lulu kunyoa nywele kidizain ilee hata kama ni mtukutu loh yani imepooza kama wali wa mafuta khaa!! Ajipange upya huyo lulu!!

mie nilichoka bwana baada ya kuiona!! darasa limepooza kama nini!!!

wanafunzi wawili tu ndo wanaoongea, wengine woote wanajisomea!
 
jaman jamn jamn hyo movie ni MBOVU,MBAYA,INABOA NA KUKERA...Mimi nimepoteza buku yangu ya kukodisha hyo movie ili niione...yan kwa mbwembwe milion laki nane nikaiweka niichek...looh,jamn ni Mbaya...lulu sijui amefanya nini...promo bab kubwa ila hyo kitu yenyew ni sifuri..Aaaangrrrryyyy

calm down mkuu!!

watabaki tu kupiga picha za uchi sasa!
 
.................wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri............../QUOTE]
Hapo hakika unamzungumzia mr.kigosi!jamaa anakelele yule!

labda tatizo ni sauti kuifikia camera!!

hahhaaaa!! nimewaza tu hivyo!
 
Afu kweli aisee movie inaboa mwanzo mwisho yani jina la movie halisadifu yaliyomo kabisaaaa!! Hata part2 yake cjaimalizia we shule gani ya kitanzania inaruhusu yule rafiki yake lulu kunyoa nywele kidizain ilee hata kama ni mtukutu loh yani imepooza kama wali wa mafuta khaa!! Ajipange upya huyo lulu!!

mi mwenyewe nilivumilia sana mpaka kuimaliza!!!

sasa kama wanasema easanii ndio kioo cha jamii,,

sasa mr hasheem kambi (father lulu) alitufunza nini pale alipomnywesha mwanae arv bila kumpa maelezo ni kitu gani hasa kile?

hii kweli foolish age!
 
Back
Top Bottom