ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu mwanamke anayekojoa amechuchumaa, anayeona siku zake za mwezi, ku behave kama kidume
Jana Kwenye usiku wa tuzo wale mabinti wamenihuzunisha sana