Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

😂😂😂😂
Wabongo halali kuitwa maiti inayotembea kinacho jadiliwa na kinachojibiwa ni tofauti.

Nimezungumzia wanaume wenye hulka na silka ya kike, mbna hawasemewi ni Hormonal imbalances, kuwa wanajifanyisha kusudi.

Ila kwa wanawake kuwa na hulka na silka ya kiume, ni hormonal imbalance.

UNAFIKIIIIIIIIII.
Huo ni upumbavu na upotofu wa maadili
 
Upumbavu ni kudhani kwamba kinachowafanya wawe matomboy ni kucheza mpira kwani kuna matomboy wangapi kwenye jamii zetu ambao siyo wacheza mpira, kama mtu ni tomboy ndivyo alivyo tu na kama siyo hata acheze boxing hawezi kuwa tomboy acheni kubwabwaja kana kwamba wacheza mpira wote wa kike ni matomboy, halafu mjue kutofautisha kati ya matomboy na wasagaji si kila tomboy ni msagaji na si kila msagaji ni tomboy hao mabinti hata wakijiweka kikike wengi huwa hawavutii maana wanaanza kudevelop mionekano ya kiume.. kuanzia sura hadi misuli na wengine hukosa maziwa kabisa sasa mnataka wafanye nini!!
 
😂😂😂😂
Wabongo halali kuitwa maiti inayotembea kinacho jadiliwa na kinachojibiwa ni tofauti.

Nimezungumzia wanaume wenye hulka na silka ya kike, mbna hawasemewi ni Hormonal imbalances, kuwa wanajifanyisha kusudi.

Ila kwa wanawake kuwa na hulka na silka ya kiume, ni hormonal imbalance.

UNAFIKIIIIIIIIII.
Mimi nimekuelewa toka mwanzo
 
Mbona wamejisitiri kwa mavazi ya stara hapo mkuu, au una picha zao nyingine??

Wale wameumbwa rojorojo, wakifanya mikazi migumu kama hiyo ya mpira, boxing lazima misuli ikakamae na sio kulegea kama Ke wengi.
 
Upumbavu ni kudhani kwamba kinachowafanya wawe matomboy ni kucheza mpira kwani kuna matomboy wangapi kwenye jamii zetu ambao siyo wacheza mpira, kama mtu ni tomboy ndivyo alivyo tu na kama siyo hata acheze boxing hawezi kuwa tomboy acheni kubwabwaja kana kwamba wacheza mpira wote wa kike ni matomboy, halafu mjue kutofautisha kati ya matomboy na wasagaji si kila tomboy ni msagaji na si kila msagaji ni tomboy hao mabinti hata wakijiweka kikike wengi huwa hawavutii maana wanaanza kudevelop mionekano ya kiume.. kuanzia sura hadi misuli na wengine hukosa maziwa kabisa sasa mnataka wafanye nini!!
Wakivqq nusu utupu watasemwa, wakivaa kiume watasemwa vilevile.

Kwa mionekano yao, hata wakivaa kiume hawastui.
 
Ndo shida ya UNAFIKI hii, kwani hapo nani kasema hao ni Lesbos?

Mihemko ktk 1 na 2, 😂😂😂😂😂
hakuna unafiki hapo hakuna uhusiano wa Mk**u na hisia za kufanya mapenzi
 
😂😂😂😂😂
Unajizima data, sijazungumzia sexual affairs hapa.
Nimesema kuhusu hulka na silka, na hiyo yako ya hormonal imbalance.

UNAFIKIIII.
 
Upumbavu ni kudhani kwamba kinachowafanya wawe matomboy ni kucheza mpira kwani kuna matomboy wangapi kwenye jamii zetu ambao siyo wacheza mpira, kama mtu ni tomboy ndivyo alivyo tu na kama siyo hata acheze boxing hawezi kuwa tomboy acheni kubwabwaja kana kwamba wacheza mpira wote wa kike ni matomboy, halafu mjue kutofautisha kati ya matomboy na wasagaji si kila tomboy ni msagaji na si kila msagaji ni tomboy hao mabinti hata wakijiweka kikike wengi huwa hawavutii maana wanaanza kudevelop mionekano ya kiume.. kuanzia sura hadi misuli na wengine hukosa maziwa kabisa sasa mnataka wafanye nini!!
Hawawezi kukuelewa hapa. wabongo wana ufahamu wa pekee yao. Lol
😂😂😂😂😂
 
Tom boy ni mwanamke mwenye hulka na silka ya kiume, ila sio Msagaji.

Tom Girl, ni mwanaume mwenye hulka na silka ya kike, ila sio Shoga.

Nadhani ushapata utofauti wake na umeelewa pia.
Wanatofautiana na watu wa kawaida kimaumbile?

Yaani wanaendashaje mahusiano yao?
 
Back
Top Bottom