Kwa wanawake hormonal imbalance, ila kwa wanaume aaah.Japo siwatetei ila wengi wao ni mambo ya hormone imbalance mfano Clara Luvanga
Hakuna hormone inayomwambia mwanaume ashike ukutaKwa wanawake hormonal imbalance, ila kwa wanaume aaah.
UNAFIKI HUU.
Shukrani kwa mleta mada kwa kuleta mada hii. Kiukweli kuna Vipaji vingi vya kike vya Mpira wa miguu vitakuwa vinafia ndani kwa sababu ya hofu ya ujinga kama huu!Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu mwanamke anayekojoa amechuchumaa, anayeona siku zake za mwezi, ku behave kama kidume
Jana Kwenye usiku wa tuzo wale mabinti wamenihuzunisha sanaView attachment 3342095View attachment 3342096View attachment 3342097View attachment 3342098View attachment 3342098View attachment 3342099
Ndo shida ya UNAFIKI hii, kwani hapo nani kasema hao ni Lesbos?Hakuna hormone inayomwambia mwanaume ashike ukuta
πππππ€£π πHao wapuuzi huwa wanasingizia hormones ili kuhalalisha upumbavu wao wa ushoga