Huo ni upumbavu na upotofu wa maadiliππππ
Wabongo halali kuitwa maiti inayotembea kinacho jadiliwa na kinachojibiwa ni tofauti.
Nimezungumzia wanaume wenye hulka na silka ya kike, mbna hawasemewi ni Hormonal imbalances, kuwa wanajifanyisha kusudi.
Ila kwa wanawake kuwa na hulka na silka ya kiume, ni hormonal imbalance.
UNAFIKIIIIIIIIII.
Afu wabongo wanachanganya Tom boy na Lesbos, au Tom girl na Gays."Tom Boy" ni nani kwa upande wa jinsia?
Hakuna anayepinga hilo, tunakataaa UNAFIKIIII.Huo ni upumbavu na upotofu wa maadili
πππππNikiwaangalia vijana wa Dar nikawalinganisha na hao umeweka picha hapo, vijana mwendo unaisha kabisa
Tofauti yao ni nini?Afu wabongo wanachanganya Tom boy na Lesbos, au Tom girl na Gays.
ELIMU, ELIMU ELIMU.
Maungo yake ya asili haiwezekani kujifanya mkuuMwanamke anayejifanya mwanaume
Mimi nimekuelewa toka mwanzoππππ
Wabongo halali kuitwa maiti inayotembea kinacho jadiliwa na kinachojibiwa ni tofauti.
Nimezungumzia wanaume wenye hulka na silka ya kike, mbna hawasemewi ni Hormonal imbalances, kuwa wanajifanyisha kusudi.
Ila kwa wanawake kuwa na hulka na silka ya kiume, ni hormonal imbalance.
UNAFIKIIIIIIIIII.
Wakivqq nusu utupu watasemwa, wakivaa kiume watasemwa vilevile.Upumbavu ni kudhani kwamba kinachowafanya wawe matomboy ni kucheza mpira kwani kuna matomboy wangapi kwenye jamii zetu ambao siyo wacheza mpira, kama mtu ni tomboy ndivyo alivyo tu na kama siyo hata acheze boxing hawezi kuwa tomboy acheni kubwabwaja kana kwamba wacheza mpira wote wa kike ni matomboy, halafu mjue kutofautisha kati ya matomboy na wasagaji si kila tomboy ni msagaji na si kila msagaji ni tomboy hao mabinti hata wakijiweka kikike wengi huwa hawavutii maana wanaanza kudevelop mionekano ya kiume.. kuanzia sura hadi misuli na wengine hukosa maziwa kabisa sasa mnataka wafanye nini!!
hakuna unafiki hapo hakuna uhusiano wa Mk**u na hisia za kufanya mapenziNdo shida ya UNAFIKI hii, kwani hapo nani kasema hao ni Lesbos?
Mihemko ktk 1 na 2, πππππ
πππππhakuna unafiki hapo hakuna uhusiano wa Mk**u na hisia za kufanya mapenzi
Unafatilia watu na maisha yao... Wewe uliye mwanamke kamili ingie kacheze yanga au simba Queens.Hapa jukwaani unajulikana mrengo wako ni upi, naona unazidi kujiweka wazi
Sema wewee. Afu sio kuwa hawaelewi, wanajua na kuelewa sana, ila wanataka kusikia kile watakacho wao.Mimi nimekuelewa toka mwanzo
Tom boy ni mwanamke mwenye hulka na silka ya kiume, ila sio Msagaji.Tofauti yao ni nini?
Hawawezi kukuelewa hapa. wabongo wana ufahamu wa pekee yao. LolUpumbavu ni kudhani kwamba kinachowafanya wawe matomboy ni kucheza mpira kwani kuna matomboy wangapi kwenye jamii zetu ambao siyo wacheza mpira, kama mtu ni tomboy ndivyo alivyo tu na kama siyo hata acheze boxing hawezi kuwa tomboy acheni kubwabwaja kana kwamba wacheza mpira wote wa kike ni matomboy, halafu mjue kutofautisha kati ya matomboy na wasagaji si kila tomboy ni msagaji na si kila msagaji ni tomboy hao mabinti hata wakijiweka kikike wengi huwa hawavutii maana wanaanza kudevelop mionekano ya kiume.. kuanzia sura hadi misuli na wengine hukosa maziwa kabisa sasa mnataka wafanye nini!!
Usihalalishe ushoga wako hapa ni utovu wa maadili.Afu wabongo wanachanganya Tom boy na Lesbos, au Tom girl na Gays.
ELIMU, ELIMU ELIMU.
Wanatofautiana na watu wa kawaida kimaumbile?Tom boy ni mwanamke mwenye hulka na silka ya kiume, ila sio Msagaji.
Tom Girl, ni mwanaume mwenye hulka na silka ya kike, ila sio Shoga.
Nadhani ushapata utofauti wake na umeelewa pia.