Ushetani mtupu🤣😅😂Hao wapuuzi huwa wanasingizia hormones ili kuhalalisha upumbavu wao wa ushoga
Sasa wapi nilipohalalisha hapa? Usome na uelewe, acha kukurupuka.Usihalalishe ushoga wako hapa ni utovu wa maadili.
Maumbile yanabaki kuwa jinsi aliyozaliwa nayo, ila tabia na muenendo unakua tofauti na jinsi husika.Wanatofautiana na watu wa kawaida kimaumbile?
Yaani wanaendashaje mahusiano yao?
Unajua current meaning ya tom boy?. Check merrian webster dictionary online. Tom boy Is not the same as transgender/lbqt if that us what you meantHuu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu mwanamke anayekojoa amechuchumaa, anayeona siku zake za mwezi, ku behave kama kidume
Jana Kwenye usiku wa tuzo wale mabinti wamenihuzunisha sanaView attachment 3342095View attachment 3342096View attachment 3342097View attachment 3342098View attachment 3342098View attachment 3342099
Mashoga na wasagaji mna maneno yenuUnajua current meaning ya tom boy?. Check merrian webster dictionary online. Tom boy Is not the same as transgender/lbqt if that us what you meant
Labda tafuta term nyingine kuelezea mawazo yako.
Please don't point fongers to people you don't undestand.
Wengi wetu tumevamia dini za watu ambazo hatuzielewi mwisho wake tunachanganyikiwa, especially the so called Gen Z.
For parents try to understand your kids rather than being too judgemental. You will loose them for good.
Kids are always rebellious in their teens. Try to impose your old fashioned ideas will fail spectacularly. Trust me I had teenage kids they are adults now so I am speaking from experience.
Mkuu hao wadada hawafanyi maksudi ila wengi wao hormones ndio zinawapelekea kuwa hivyo hiyo IPO Dunia nzima Tena ulaya inafika wakati mpaka wanaona wenyewe Kwa wenyeweHuu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu mwanamke anayekojoa amechuchumaa, anayeona siku zake za mwezi, ku behave kama kidume
Jana Kwenye usiku wa tuzo wale mabinti wamenihuzunisha sanaView attachment 3342095View attachment 3342096View attachment 3342097View attachment 3342098View attachment 3342098View attachment 3342099
Tatizo lake hakwenda shule mkuuMkuu hao wadada hawafanyi maksudi ila wengi wao hormones ndio zinawapelekea kuwa hivyo hiyo IPO Dunia nzima Tena ulaya inafika wakati mpaka wanaona wenyewe Kwa wenyewe
Ignorance is bliss.Mashoga na wasagaji mna maneno yenu
Yaani unaandika kizungu kingi ili tu uoneshe watu kutoishi jinsia zao ni jambo la kawaida
Wabongo, especially vijana wanajifanya wanajua kila kitu lakini kichwani hamna kitu. They have the resources to do some research but are so lazy they want everything in a silver platter. No wonder this country has gone to the dogs.Usihalalishe ushoga wako hapa ni utovu wa maadili.
English nyingi kumbe unatetea uchafu na upumbavuWabongo, especially vijana wanajifanya wanajua kila kitu lakini kichwani hamna kitu. They have the resources to do some research but are so lazy they want everything in a silver platter. No wonder this country has gone to the dogs.