Hilo huwa nalipingaNi kweli Ila hao wana hormones imbalance hata wasingecheza mpira wangekuwa hivyo tu.
Mfano yule Crala anayecheza Timu moja na Ronaldo
Hapo issue ya mavazi ndo haifai Ila ikiwa mwanamke ana hormones imbalance lazima atakuwa Ana ujike dume Fulani .
Nenda google uandike neno "Hormones imbalance" na uangalie features za MTU mwenye kiwango kikubwa cha hormones imbalance anakuwaje .Hilo huwa nalipinga
Mwanamke anazaliwa akiwa mwanamke hata hormones ziweje jinsia yake itakuwa hiyo
Hapana sio kila ukweli utaandikwaNenda google uandike neno "Hormones imbalance" na uangalie features za MTU mwenye kiwango kikubwa cha hormones imbalance anakuwaje .
Maziwa na uke sio vitu pekee vinavyo-cover attributes za mtoto wa kike au mwanamke .
Muwe mnasoma na kujielimisha
SawaHapana sio kila ukweli utaandikwa
Kuna wanaume wakijiweka kikike wanakuwa hivo, wanapata hadi tako, ngozi nyororo na sauti nyororo n.k
Kinyume chake mwanamke akijiweka kama mwanaume atapata Sauti nzito, kifua na misuli n.k mambo mengine ni ya kujitakia tu
Naona una tatizo la kuelewa lugha. English kwako imekupita kando ndiyo maana ukaanziisha mada isiyokuwa na kichwa wala miguu.English nyingi kumbe unatetea uchafu na upumbavu
Mashoga mnapambana sana LeoNaona una tatizo la kuelewa lugha. English kwako imekupita kando ndiyo maana ukaanziisha mada isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Nilikuwa natataka kukuelewesha kwamba tom boys kwa maana halisi siyo shoga wala msagaji kama ulijyotaka kuwaelimisha/ kuwaaminisha watu.
Uelewa wako mdogo wa lugha umesababisha kuleta mada mfu.
Lakini bado watu mbumbumbu humu ndani wakishaona neno shoga wanaehuka.
Soma any current english dictionary maana ya tom boy siyo shoga. Tom boys are always cis not gay. Usiniulize maana ya cis. Kama una bando ya kupost upuuzi huu unaweza ku google cis vile vile.
Use your brain a little to think instead of your as***le.
Why apathy to english young man. Is your father a Tanzanian politician.?
Hawawaoni wenzao kule WWW kwenye mchezo wa kibabe? Ni warembo kabisa. Mcheki Tiffany Stratton, Liv Morgan, Bianca Belair n.k.Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu mwanamke anayekojoa amechuchumaa, anayeona siku zake za mwezi, ku behave kama kidume
Jana Kwenye usiku wa tuzo wale mabinti wamenihuzunisha sanaView attachment 3342095View attachment 3342096View attachment 3342097View attachment 3342098View attachment 3342098View attachment 3342099