Mwambie watoto hawana kosa Nyamayao mwenye kosa ni baba watoto aawaache ila libabalao alitimue akae na huyo mama mwenza wajue watafanyaje kuwasaidia watoto hao.
Sasa kwa nini huyo mama asimpige chini huyo mwanaume? Amemng'ang'ania wanini kama anaona anafanyiwa vitu ambavyo sivyo? Mwambie aachane nae.
anawafikiria hao watoto wa mume wawili alionao hapo nyumbani awapeleke kwa mamake na mume, na mambo ya ada na mengineyo anayakatisha, ni kitendo cha jmoc kuwapeleka huko....hebu ona mwanaume amewakosesha watoto masomo yao kisa tamaa za kipumbavu, yaani inatia uchungu sana.
kabisa kabisa mkuu...duh! hii ni aibu gani sasa wajameni
chonde chonde, asiwapeleke hao watoto awahudumie tu hawana kosa,,,,atawanyanyapaa bure! adeal na mumewe tu kwanza!
. Ni kweli inauma mamii but mwambie watoto hao hawana makosa. Awachukulie kama wake na aendelee kuwasomesha kama kawaida. Hebu fikiria watakosa mangapi kwa kuwa na libaba kama hilo? Awalee tu na I tell you watakuja mkumbuka na ndiye watakayemheshimu kama mama. Thats is what we call a strength of a woman! Akaze moyo wake.anawafikiria hao watoto wa mume wawili alionao hapo nyumbani awapeleke kwa mamake na mume, na mambo ya ada na mengineyo anayakatisha, ni kitendo cha jmoc kuwapeleka huko....hebu ona mwanaume amewakosesha watoto masomo yao kisa tamaa za kipumbavu, yaani inatia uchungu sana.
mwanajamiioneHabari zenu.
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya mahusiano kati ya mke na mume ndani ya ndoa kuna vitu nimeshinmdwa kabisa kuvipatia majibu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu.
Eti for how long tunatakiwa kusamehe na kusahau kwa kosa ambalo ni la kulirudia? Namaanisha kwamba kama wewe unachukia mpenzi wako kufanya kitu flani na ukamwambia jinsi unavyoumia akifanya kitu hicho, kwa hali ya kawaida mimi nilikuwa ninafikiri kuwa ukishamwambia kikukeracho atajitahidi juu chini katikati pembeni ili asikifanye tena..... kumbe lah kuna ambao wao huwa ni kawaida
Mf. mtu mwenye tabia ya kuchelewa kurudi majumbani bila kutoa taarifa au tabia yake ya kutoka kwenda saluni bila kukuaga wala kutoa taarifa!
unatakiwa kusamehe kila anapolifanya kosa hilo au ?
Na je anapolirudia huiwa anamaanisha nini?
wewe mwenzi wako akiwa anakufanyia hayo utajisikiaje na utaamua kitu gani?
Tafadhali nisaidieni.
khaa yaani uendelee ku2nza watoto ambao baba yao hata hajali kwa lolote, inahitaji moyo wa ziada, watoto wapo pale kutokana na mapenzi ya mama kwa baba, sasa baba ndio huyo tena itakuwaje?.
Unanikumbusha mjomba wangu flani aunty yetu wa kwanza alizaa na shemejiye (yaani mjomba wangu mwingine) akafukuzwa na watoto wakalelewa na mama ya kambo vizuri kabisa basi wao ndio wanaomlea aunty yangu kwa kila kitu! Kuliko hata wale aliowazaa mwenyewe!
Habari zenu.
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya mahusiano kati ya mke na mume ndani ya ndoa kuna vitu nimeshinmdwa kabisa kuvipatia majibu. Naombeni mnisaidie ndugu zangu.
Eti for how long tunatakiwa kusamehe na kusahau kwa kosa ambalo ni la kulirudia? Namaanisha kwamba kama wewe unachukia mpenzi wako kufanya kitu flani na ukamwambia jinsi unavyoumia akifanya kitu hicho, kwa hali ya kawaida mimi nilikuwa ninafikiri kuwa ukishamwambia kikukeracho atajitahidi juu chini katikati pembeni ili asikifanye tena..... kumbe lah kuna ambao wao huwa ni kawaida
Mf. mtu mwenye tabia ya kuchelewa kurudi majumbani bila kutoa taarifa au tabia yake ya kutoka kwenda saluni bila kukuaga wala kutoa taarifa!
unatakiwa kusamehe kila anapolifanya kosa hilo au ?
Na je anapolirudia huiwa anamaanisha nini?
wewe mwenzi wako akiwa anakufanyia hayo utajisikiaje na utaamua kitu gani?
Tafadhali nisaidieni.
mwanajamiione
too much of anything becomes poisonous,kwahivyo kuomba msamaha kurita kiasi pia kunadhuru ule uhusiano baina ya wapendanao.Hivyo basi kuna haja kwa wawili wanaopendana kujaribu kadri ya uwezo wao kuzuia kurudia kosa zao sivyo basi uaminifu na lile penzi huanza kupoteza rangi.
sijaelewa kitu hapa.....hivi mtuma post anamaanisha anayezungumzwa ni male??Mana naona wachangiaji wanachangia upande mmoja tu!
Samahani huenda sijaelewa.Au Mwanajamii 1 ni female?
Embu ngoja kwanza nisome tena hiyo post ya kwanza...
Awe na roho ya huruma kwa hao watoto cha msingi aongee na huyo mke mwenza kuwa yule mmewe wa zamani wameshindwana na sasa hawa watoto wanasoma tufanyaje? Binafsi naona watoto hawana kosa cha msingi mama huyo awe na roho ya utu.
wanaume type hio wanafaa wachapwe viboko makalio yakiwa wazi hadharani...its a shameMwambie ampe talaka kabisa mwanaume huyo anatuaibisha kabisa.
wanaume type hio wanafaa wachapwe viboko makalio yakiwa wazi hadharani...its a shame
mwanajamiione
too much of anything becomes poisonous,kwahivyo kuomba msamaha kurita kiasi pia kunadhuru ule uhusiano baina ya wapendanao.Hivyo basi kuna haja kwa wawili wanaopendana kujaribu kadri ya uwezo wao kuzuia kurudia kosa zao sivyo basi uaminifu na lile penzi huanza kupoteza rangi.
hawaelewani hata kidogo....
duh sasa hapo kazi kweli kweli watoto atawapeleka wapi sasa? Akutane na ndugu wa huyu mwanaume asiye kuwa na shukrani kulelewa kote huko yeye bado anapiga majambozi nje.
mambo sio marahic kihivyo, yaani ulee watoto wakati baba yao yupo kando tu hapo na jirani yako wanakula raha? kwani yeye hana mahali pa kupeleka hizo pesa anazowasomeshea hao watoto? hata mie nicngelea tena!
watamsadia nini wakati na wao wenyewe wakusaidiwa?
Anayafanya magumu,, pa kupeleka hizo pesa pazuri zaidi ni wapi kama sio kusomesha watoto? mweh!
Hapo swity no way out itabidi awarudishe tu maana anaweza yule mwanaume kumshtaki wakasimama na mke wake yule wa zamani anaishi na watoto wao bila ridhaa yao. Hapo ukisikia kunyea kambi ndo huko. Jamaa kaharibu.