Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Mwambie watoto hawana kosa Nyamayao mwenye kosa ni baba watoto aawaache ila libabalao alitimue akae na huyo mama mwenza wajue watafanyaje kuwasaidia watoto hao.
khaa yaani uendelee ku2nza watoto ambao baba yao hata hajali kwa lolote, inahitaji moyo wa ziada, watoto wapo pale kutokana na mapenzi ya mama kwa baba, sasa baba ndio huyo tena itakuwaje? anyway inahitaji moyo wa ziada! cjamshauri lolote mpaka sasa mana hatakia kuambiwa lolote, anaona muamuzi wa mwisho ni yeye mwenyewe, akipoa nitaongea nae kiundani.