For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu........kumbe hata mananasi hawajui kuyalima!!
pumbafu kabisa...wache vijana wafanye mambo yao bana....eti oooh BB..:yawn:

Toka kukunyima mkopo imekuwa uadui?

Hiyo ni waste of time and resources. Muda wanaotumia kufanya hayo wangeutumia kuzalisha, wasingehangaika kutafuta mikopo.
 
Namaanisha ukifunguwa tu ku post au ku reply post hizo features zote ni za kuchaguwa tu na haina haja ya kukumbuka codes zote hizo, sijawahi kuwa na tatizo hilo.

Kaka Zomba nakubaliana na wewe....ila nahisi zipo cm ambazo zinaitaji codes wakati kama unahitaji kuweka nyongeza katika cm yako....na kuhusu neno "KUKUMBUKA codes zote hizo" mi nahisi hapo unakosea...maana ujue mtu akiwa ameelewa kitu kwa uhakika huwezi kuita eti "akukumbuke" maana akifika kwenye hatua husika hufanya jambo husika kwa sababu anajua....sidhani kama anapata shida
 
Chamsingi kukumbuka ni hizi herufi
  • underline =u
  • bold=b
  • color=color
  • link=url


pia unaanza na [#] na kumalizia na [/#] weka herufi hapo kwenye reli.
:wink:
 
Unapata kwenye BB! Mbona O'Level tulifundishwa kutumia Four figure japokuwa calculator zipo? Tusilaze ubongo waTZ...
 
Back
Top Bottom