For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

sasa kama watoto ni wa baba mbona watoto hao huimba nani kama mamaa aah! Kwangu Mimi naonaga ni kihelehele chetu men tuu!
 
Reactions: Tsh
@Jadda kuja hapa kudadadeki zako.
 
Yaani kutombwa tombwa hovyo na kudanga ndio unaita kupambana na chui na simba? [emoji848]
 
Wapenzi watazamaji, ni ile ile team yetu pendwa ipo uwanjani.....
 
Kuna wanaume kama mabinti wa enzi hizo walishikwa makalio na wazungu kupush ajenda wakamhamasisha yule mama ila alikuwa hana hata mpango na alikuwa anajistukia na kuogopa kuhangaika na mambo ya kimataifa.

Ni hawa emasculated and feminized Men ndio walipush ajenda wala si wanawake.
 
Kizazi cha sasa cha wanawake hawajui kinachoenda kuwakuta mbeleni, wanajikuta wao ni wanaharakati mpaka kwenye mambo ambayo hayahitaji harakati...
Lishukuliwe jeshi la wanaume wenye Patriarchy mind set ambao wanapambana kila uchao kuwakumbusha Wanawake kujishikilia kipindi hiki kigumu ambapo shetani anaisambaratisha jamii.

Kila siku nyuzi zaidi ya 10 zinaanzishwa kumsuta na kumuelekeza kama sio kumuelimisha mtoto wa kike kuishika jinsia yake na wajibu wake.

Wakija kupotea ni kwa kutaka kwao sio swala la mwanaume hakuwapambania.
 
Hapo uliposema mwanamke anaweza kuwa mjane akaishi bila mume, nikuulize katika umri wa ujane nani anataka kuoa mwanamke mjane abebe mzigo wa familia na mke ambaye ametumika?

Je, unaona misiba ya wanaume matajiri hali ipoje kwa wajane wa mamilionea au mabilionea huwa wanachukua round kupata mwenza wa kuliendeleza? Kylin unaona yupo single?

Kingine cha ziada mara nyingi mjane huwa anaishi na mali zilizotafutwa na nani na kwa muda gani? Unaona mfano mama magufuli, mama Nyerere, hao wote wanaishi kwa mali za wanaume zao ambazo walipambana kuzitafuta hadi wakazipata. So mjane wa hivi hana haja ya kuhangaika na mahusiano ili iwaje na umri umeenda ana watoto wa kulea.

Wanaume wamekuwa conditioned kutegemea wanawake sababu wengi hawajifunzi kupika, kufanya usafi, kujiandalia nguo na hata wakiumwa kidogo anataka mke awe around kumhudumia ila sijui kama unaona hii breed ya sasa ya kizazi cha watoto wa kiume wanaojua kusukuma chapati na kupika vizuri hadi ikavutia, wanaojua kuunga nyama ya mchuzi na kupika kisamvu mixer kuchambua mchele na kupika pilau au wali. Hawa unavyowaona hawa shughuli yao itakuwa ya kawaida? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa kama watoto ni wa baba mbona watoto hao huimba nani kama mamaa aah! Kwangu Mimi naonaga ni kihelehele chetu men tuu!
Hao ni kizazi cha toleo la miaka ya 80. Watoto waliozaliwa na kizazi cha miaka ya 1990's mmmmmmhmn wengi hawaivi na mama zao sababu wanalelewa na house girls, bibi zao, na walimu wa day-care.

Mama anamuona jumapili tu tena ni ile akimuagiza dada kuandaa vitu baada ya hapo anajifungia chumbani apate muda wa kupumzika huku akichezea simu.

Wa mama wa kizazi hiki cha nyoka hawapendi watoto balaa sijui wapoje aisee.
 
Hahaha, imebidi nicheke tu. Mkuu, embu ngoja wakizeeka jamii itapata jibu.
 
Maneno mazito sana haya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…