For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao.

Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu ambacho unaweza kukiacha muda wowote.

Wanawake wa sasa wana ile mentality ya kwamba "Anachoweza mwanaume na mwanamke anakiweza pia". Hiki ndicho kinachowapoteza wanawake wa siku hizi. Hawajui toka enzi na enzi mwanamke ndiye alikuwa mchapakazi kushinda mwanaume ndani ya nyumba, yes, wanawake toka enzi na enzi ndiyo wachapakazi wakuu kwenye miji yao.

Lakini wanawake wa sasa hawana majibu ni kwa nini wanawake wa nyakati hizo they never left their homes kwenye hali yoyote ile. Hili ni ombwe ambalo wachache wana majibu yake.

Tuachane na hayo. Twende kwenye lengo la uzi.

Mwanaume unapooa zingatia yafuatayo:.

1. Men are Name-Bearers. Wewe ndiye kichwa cha familia, wewe ndiye mhimili wa uzao wako ujao. Kila mwanaume amezaliwa kutengeneza "ukoo". Yani wewe siku moja utakuwa babu uliyemzaa babu aliyemzaa babu akamzaa baba. Hivyo mwanamke asipozingatia ndoa usisite kumpiga chini maana she is just a vacuum.

2. Unapooa huyo mwanamke anakuwa wako physicaly and spiritualy. Ndiyo maana hata akifa atazikwa kwako/kwenu, haendi kuzikwa kwao. Hivyo mwanamke asiyejali ndoa anakuwa automaticaly ametoka nje ya hii dhana na hafai.

3. Mwanaume hamuhitaji mwanamke ili maisha yake yakamilike, ila ili maisha ya mwanamke yawe kamili anamhitaji mwanaume. Mwanaume amezaliwa akiwa "Complete", maisha yake yote anaweza asioe na akawa poa kabisa. Ila mwanamke asiye na mume ni hopeless and miserable. Hapa wanawake wengi huwa wanajidanganya pindi wakiwa kwenye 20s na 30s kwamba wako ok bila kuwa na mume, ila kawaangalie wanawake walio kwenye 40, 50, wasio na waume wanavyotia huruma kwenye jamii.

4. Ya mwisho kwa sasa mwanaume akifariki huwa tunauliza ameacha watoto? Kuuliza kama kaacha mke huwa ni geresha tu ila cha msingi huwa ni watoto. Ila akifariki mwanamke? Swali la kwanza huwa ni nini? Najua jibu unalo.

Hivyo itoshe kusema ndoa huwa ni zawadi kwa wanawake, kwa mwanaume ndoa siyo lazima. Kwa kuwa wanawake hawaithamini tena hii zawadi, basi nasi wanaume hatuna budi kunawa na kukaa pembeni.
Target yako uwaunge mkono team kataa ndoa tu, ila unazunguuuka
 
Tangu harakati za Beijing mpaka movement za sasa za wanawake pamoja na supporting slogans za kitaifa na kimataifa.. ..kumezaliwa mentality hio wanawake kuona wanaweza bila mwanaume..so wamekuwa na confidence sana hasa wanapojitafuta na wakapata..mifumo ya utafutaji inazidi kuwa rahis kwao, huku Wimbi la wanaume kubadili gia angani na kutaka kulelewa inamana wanaume wanaanza kusurrender ishu za utafutaji, wanakata tamaa haraka wanapokosa, wanadhaurika na wanawake kwa kukosa kwao..so wanajotoa ufahamu na kuegemea umarioo..huku wanaume wengine wakizidi kukosa kujiamini kabisa hasa ktk ROLE na HADHI yao kijamii
 
Nakupitia serikali hizi hizi za 50/50 dunia inaenda kuwa tambala bovu, tushangae wadada wadogo kisa wana hela wanakwambia Ndoa ya nini?.

Binti kama yule sauti ya zege na senti anazopata bungeni unadhani utamueleza jambo akakuelewa!. Dalili mbaya sana.
Huyo nayeye si ana mme wake kutoka Bunda? Huyo muondowe kabisa kwenye orodha ya wanawake hayumo na huo msauti ndio kabisa.
 
Target yako uwaunge mkono team kataa ndoa tu, ila unazunguuuka
Wewe huelewi kilichoandikwa hapo, ambao tuna familia mke na watoto tumemuelewa vizuri tu loud n clear.

Panguwa hoja kwa hoja, kataa ndoa wana hoja za msingi sana.
 
Back
Top Bottom