For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

Target yako uwaunge mkono team kataa ndoa tu, ila unazunguuuka
 
Tangu harakati za Beijing mpaka movement za sasa za wanawake pamoja na supporting slogans za kitaifa na kimataifa.. ..kumezaliwa mentality hio wanawake kuona wanaweza bila mwanaume..so wamekuwa na confidence sana hasa wanapojitafuta na wakapata..mifumo ya utafutaji inazidi kuwa rahis kwao, huku Wimbi la wanaume kubadili gia angani na kutaka kulelewa inamana wanaume wanaanza kusurrender ishu za utafutaji, wanakata tamaa haraka wanapokosa, wanadhaurika na wanawake kwa kukosa kwao..so wanajotoa ufahamu na kuegemea umarioo..huku wanaume wengine wakizidi kukosa kujiamini kabisa hasa ktk ROLE na HADHI yao kijamii
 
Huyo nayeye si ana mme wake kutoka Bunda? Huyo muondowe kabisa kwenye orodha ya wanawake hayumo na huo msauti ndio kabisa.
 
Target yako uwaunge mkono team kataa ndoa tu, ila unazunguuuka
Wewe huelewi kilichoandikwa hapo, ambao tuna familia mke na watoto tumemuelewa vizuri tu loud n clear.

Panguwa hoja kwa hoja, kataa ndoa wana hoja za msingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…