For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

Lakini hivyo 19 ingekuwa vina-accomodate na wanaume sasa hivi akina Mbowe, Mnyika wangekuwa Bungeni. Ni ubinafsi tu unawasumbua hawa wanaume!
Unadhani hivi vyama bado havitoi fursa sawa kwa wanawake ?
 
Sio kwa Tanzania ya sasa, Kama Mbowe na Samia Wana good working relationship usishangae kesho NEC ikatoa barua kutangaza nafasi ziko wazi!
Tatizo ilikuwa mchakato wa kuwapata hao wabunge ila sio hizo nafasi, kumbe hata mliposema mmesusia matokeo ya ule uchaguzi, kwa Sasa mmeshabadilisha msimamo wa awali.
 
Unadhani hivi vyama bado havitoi fursa sawa kwa wanawake ?
Mkuu, IT IS A MAN's WORLD...Mwanaume atampa mwanamke kitu pale tu ambapo kinamnufaisha na yeye. That is the fact of life.
 
Tatizo ilikuwa mchakato wa kuwapata hao wabunge ila sio hizo nafasi, kumbe hata mliposema mmesusia matokeo ya ule uchaguzi, kwa Sasa mmeshabadilisha msimamo wa awali.
Sasa maridhiano yakishaisha lazima tu tutaambiwa tupeleke wabunge maana huwezi endelea kususa wakati changamoto iliyosababisha ususe imeshafanyiwa kazi.

Then wabunge issue haikuwa mchakato pekee Bali chama kilishasema hakitambui matokeo so kwenda bungeni kuliua bargaining power maana hata wafadhili wanaona mmekubali matokeo na hivyo mnakiri uchaguzi ni huru na haki!!!
 
Naona kama unachanganya mambo. Kwa hiyo unataka wafungue kesi dhidi ya Bunge ili kulizuia kuwaondolea ubunge? Na hiyo waifanye kabla hawajavuliwa ubunge?
Hiyo ya kupinga kufukuzwa kwenye chama ni haki yao. Lakini haina uhusiano na wao kubakia kuwa wabunge.

Amandla...
Mkuu Fundi Mchundo upo? Nasikia Mahakama imetoa zuio.
 
Back
Top Bottom