klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
heheeh unakuja kuona sredi sjui ana kibamia, sjui ananuka tope, balaa tupu! acha tumpigie debe taluma kama hakikueleweka tutamshauri awe mtakatifu.Na baadae asije akamuanzisha thread maana huwa hawachelewi
ubarikiwe upate mapacha saba mara sabinii.... ukija kulipa plz nipe mie mshiko ndo nilipe!! wahudumu watakuchakachuaWewe ndo umemaliza kila kitu. Kula bia my dia usiogope ntakuja kulipa.
Mkuu wataka embe mbivu wakati weye ushakuwa embe ya juisi.... kwa jina la konyagi mwitu nnaoigida hapa... usiangukie kwnye kinywa cha bwabwa au msagaji!!:nono:Mkeshahoi,
Kwanza umenichekesa sana mkuu! Pili, unajua walio wengi wakitaka kuwapata vimwana wanapiga usanii kishenzi, jamaa mpaka anaazima kiwalo, tinted nk sasa hizi ni cosmetics ambazo huja kufanya maisha kuwa magumu unapofanikiwa kuwa pamoja na mwenza wako, usanii unakuwa hauna nafasi na mwenza wako anajua sasa who you are! na mabifu yanaanza hapo hapo! tuambizane ukweli mwanzoni kabisa ili mtu ajue mapema though hii ina disadvantage sana kwa unaweza kosa kabisa vimwana......! But I believe in telling people my truth!
Kwenye msafara wa mamba ...na kenge wamo!!:suspicious:bado hujapata?
Demokrasia ikishindikana itabidi tutumie umafia. Lol!
bado hujapata?
Demokrasia ikishindikana itabidi tutumie umafia. Lol!
....haya Mkeshahoi! napiga sana maombi, humo situmbukia mkuu!
ubarikiwe upate mapacha saba mara sabinii.... ukija kulipa plz nipe mie mshiko ndo nilipe!! wahudumu watakuchakachua
si nyingi...zishafika laki mbili tu....!!jitahiditahidi zifke kabla sijazima!Hahaa haaa mkeshahoi sina msaada na wewe, sasa hata nikikupa wakiona siwatanijeruhi vilevile, basi ntakutumia kwa M-pesa.
si nyingi...zishafika laki mbili tu....!!jitahiditahidi zifke kabla sijazima!
loking for fainesti,,zis is vere vere siriaz!by the way unadhani hapo kwa taaluma nitume cv?
loking for fainesti,,zis is vere vere siriaz!by the way unadhani hapo kwa taaluma nitume cv?
Duh, sasa watu wakae chonjo kuna kunyang'anywa wachumba hapo.
heheeh unakuja kuona sredi sjui ana kibamia, sjui ananuka tope, balaa tupu! Acha tumpigie debe taluma kama hakikueleweka tutamshauri awe mtakatifu.
Kaka TF ....inawezekana wanagwaya masherti na wasifu wangu vimekuwa ''kimeo'' mno ...they should just try....!
Si ulisema unatafuta mchumba kwanini usiingie kwenye list ya Taluma
terms & conditions za taluma zimenishinda.
Mwambie tutengeneze mpya niingie mkataba hapo.
vuta nikuvute
hata kuachana siku hizi ni matangazoVijana vituko haviishi.... siku hizi kutafuta mke mpaka tunatangaza :kev: